• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Mwaka mpya na mambo mapya!
    Ouf! mwaka wa 1993 umekwisha. tutasherehekea huu wa 1994, katika shangwe na vigelegele tukimsifu Mweny'ezy mungu.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Udemokrasia, amani na chaluka
    Mchoko ao kazaru? Hiyo ni ulizo lafika wengi wanaojifikiri juu ya hali ya kisiasa iliyoko kwa sasa nchini Zaïre.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Kivu, Viongozi serkalini wayeyushwa ubongo
    Mara nyingi viongozi esrkalini jimboni mwa kivu ya kusini walikutana na wafanyabiashara pia viongozi wa mabenki kwa kutatua tatizo la kupandishwa kwa bei ya bizaa na hali ya kiuchumi yazorota jimboni siku nenda rudi tangu hapo kabadilishwa feza.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Shirika la SNEL liaminiwe
    Kutokana na matatizo linalo shirika lihusikalo na utoaji na uchuuzi wa moto wa stimu ama Snel na wa "clients" wake, ujumbe toka uongozi mkuu wa shirika hilo mjini Kinshasa na ukiongoza na bibi tokwaulu Aisa,...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Watutakia nini?
    Siku kwa siku uwasiwasi watezamiwa nchini Zaïre kutokana na hali ya siasa pia na ya uchumi iliyoko.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Boxe, "Toubi" d'Uvira affrontera "Commando" de Bukavu
    Dimanche 28 novembre 1993, l'association de boxe amateurs de Bukavu organise un gala de boxe dont le lieu n'est pas jusque-là encore fixé.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Fédération internationale de football association, deux joueurs du CS Virunga de Goma présélectionnés pour Tunis '94
    Le confrère kinois "Forum" confirme que deux joueurs du CS Virunga de Goma sont retenus dans la présélection des léopards devant défendre le tricolore zaïrois au tournoi final de la 19 ème coupe d'afrique des nations...
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Finances, Lembo et Batumona, nouveaux directeurs régionaux de l'Ofida et des Contributions
    MM. Lembo Kolatang et Laurent Batumona viennent d'arriver à Bukavu pour chapeauter respectivement les directions régionales de l'Office des dounaes et accises (Ofida) et des Contributions au Sud-Kivu.
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Maisha mazuri
    Kitu Kizuri gani twaweza kutumainia toka mkutano wa masimulizi na mabishano kati ya wanasiasa?
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Yamefungulia mitaani Uvira na Fizi
    Mwaka huu wa masomo 1993-1994 umefunguliwa kwa masomo ya kipekee (privées).
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Arkiaskofu Mulindwa ajiuzulu
    Kulingana habari zinazoaminika, Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane paulo wa pili, atoka kumtaja askofu Munzihirwa Mwene-Ngabo wa kasongo kama vile kiongozi kwa mda wa arkidiosezi ya Bukavu...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Bukavu-Dawa yakaa Juu ya makaa ya moto?
    Kufuatana na matatizo yanayoangamiza siku hizi timu la Bukavu-Dawa, wapendelevu wa mchezo wa kandanda mjini Bukavu
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Mapambano ya kombe la dunia
    Kutokana na habari za michezo ya mpira katika mapambano ya kugombea kombe la Dunia.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Mundial 82: Les "Léopards": au revoir les malgaches
    Une fois encore, l'entraineur Kalala Mukendi vient de confirmer son savoir faire dans la compétition inter-africaine de football.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Jawabu kwa mzozo wa kisiasa nchini Zaïre ni: Masikilizano na heshima ya mapatano kati ya wanasiasa
    Eti Raïs Mobutu akubali kukutana tena na wapinzani... Kwakweli tukichungua kwa karibu nguvu zaendeshwa kwa kuulaza mzozo wa kisiasa ulioko mchini Zaïre, zote zafikilia tu jawabu moja: masikilizano kati ya wanasiasa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kazi za wakimbizi
    Tumesherehekea hapo majuzi kumbukumbu ya Wakimbizi Barani Afrika. Lakini tukichungua kwa kini hali kwa sasa ya Wakimbizi ulimwenguni kutokana na vita viendeshwavyo nchini nyingi toka chuki na waguzi wa kikabila kama vile na rangi na wa kidini...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Football, Qui remportera la Lifski'93
    Dans le cadre de la qualification des équipes Sud-Kivutiennes à l'édition '94 des compétitions nationales, la ligue de football du Sud-Kivu (LIFSKI) organise depuis le 21 juillet 1993 un championnat régional en 3 poules.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tuzungumze: Matunzo kwa dawa za asili bora?
    Mjini Bukavu kwa upekee na jimboni mwa Kivu ya kusini kwa jumla, vyumba vingi vya matibabu kawa dawa za asili zaote kama buyogaporini...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Udemokrasia, madaraka na mapaswa
    Mpango wa kufikilia siasa ya udemokrasia wa kweli ndiyo kusema mpango wa ushindi na wa raïa kuchukua madaraka mikononi mwao hauwezi kusimamisha kamwe na mtu yeyote.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mzozo utaisha lini nchini Zaïre?
    Akitoa maoni yake kwa wapashahabari kuhusu hali ya Kisiasa yatezamiwa nchini kwa leo, askofu Laurenti Mosengwo Pasinya, prezidenti wa Baraza kuu la Washauri wa Jamhuri nchini Zaïre...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Vyama na demokrasia
    Iliruhusiwa kusimikwa nchini Zaïre siasa ya vyama vingi. Na kwa kweli kukaundwa vya kisiasa mamia na mamia. Kitendo hicho kikategemea zaidi ukabila...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Journée mondiale de la femme, S'unir pour développer
    La journée mondiale qui tombe le 8 mars de chaque année a été commémorée avec faste à Bukavu. Samedi 6 mars dernier, la grande salle de la paroisse Catholique St François-Xavier de Kadutu a servi de cadre pour la première journée des manifestations prévues.
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Football, Le dilemme du président Simbwa
    Les affiliés de l'association de football de Bukavu (AFBUK) ne savent pas encore où ils disputeront leur championnat '93. Tenant mordicus à la refection de leur sanctuaire profané de Kadutu, bon nombre des clubs gardent les yeux tournés vers le terrain de Nyakavogo à Bagira.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Catch, Les frères Musaka sont déçus !
    A la demande de Shakazulu, champion du Bas-Zaïre, deux journées de combat étaient programmées pour le samedi 13 et le dimanche 14 mars 1993 au stade de Kadutu entre les frères Musaka Nico et Romain contre Kombe Kombe Luvuluholo du club Makasi et Shakazulu.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Pourquoi l'absence du BC Kabono
    Pourquoi l'absence du BC Kabono dans l'actuel championnat local? Une question qui préoccupe les férus de la balle au panier et sur laquelle la lettre ci-dessous adressée par cette équipe...
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kwenyi meza ya duwara kisiasa mjini Kinshasa, Bwana Birindwa kateulirwa waziri mkuu mpya
    Kutokana na misukosuko ya kisiasa yaangamiza bado chi ya Zaïre tangu hapo Raïs Mobutu kumuachisha bwana Tshisekedi madaraka ya uwaziri mkuu mwezi ya Ogusti 1992 ingawa kavikwa madaraka...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Dolari kwenyi mlingoti
    Hali ya kiuchumi iliyoko nchini ya tia raïa katika uwasiwasi kwani hawajui nani wategemea ao nani atawaokowa na kuwa ondoa katika shimo la magumu wagandamizua.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mnamo tarehe 8 marsi 1993, Wamama kasherehekea siku kuu yawo
    Kila mwaka wamama washerehekea siku kuu yao mnomo tarehe 8 marsi katika furaha kwa shangwe na vigelegele ulimwengunikote ingawa magumu yatezamiwa kuwaangamiza...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Wakaaji wapenzi wa zone ya Masisi, Walikale, Rutshuru, Nyiragongo na Goma
    Wakubwa wa jimbo la Kivu ya Kaskazini (Nord-Kivu) wakishirikiana na wale wa kabila zenyi kuishi katika jimboo hilo...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Raïa wazulumiwa
    Tangu mizo ya kisiasa kuzuka nchii kati ya vikundi viwili: kundi lamuunga mkono ya Raïs wa jamhuri na lile lategemea upinzani na siasa kali tuseme kwa kifupi makundi ya mabwana...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Uhariri: Shangwe na Shukrani
    Kutokana na hali ya Kisiasa, ya kijamii na ya kiuchumi iliyo nchini, uwasiwasi wawashika raïa na maisha huwa ngumu siku kwa siku...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • UHARIRI: uwe wa heri na fanaka
    ouf! Twafika mwaka mpya wa 1993, Mambo mengi yamepita na mwaka wa 1992 kwa namna wa mwendo wa kunguru.Tukitupa jicho nyuma tutajionea wenyewe namna gani mwaka 1992 wateremusha na usito wa magumu, raha, mipando na miporomoko ya maisha. sisi sote, hasa Wana-Zaïre, Kanshukuru Mungu Mweny'Ezikiwa shangwe na vigelegele kulotana na mambo kajionea.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Football_ OC Bukavu-Dawa: Après la pluie le beau temps?
    Le président du comité sportif de l'OC Bukavu-Dawa/Pharmakina, M. Ladislas Masonga, nous a édifiés sur les péripéties de la minable participation de son équipe dans la dernière coupe du Zaïre. Le président explique que les "corbeaux" s'étaient assez bien préparés à cette compétitipon nationale qualificative à la coupe d'Afrique des clubs champions(CACC) et à celle de la Conféderation Africaine de Football (CAF).
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou publié par Dieudonné Malekera il y a 2 ans
  • Bonane, mwaka mpya na mambo mpya
    Mwaka wapita bado umeme. Leo hii tunafurahia mwaka mpya 1986. Mambo yamefyatuka kwa mwendowa kurukaruka kama kunguru kwa ginsi ukitizama nyuma utajionea mwenywe namna gani mwaka 1985 wabeba mzigo wa magumu, raha, mipando na miporomoko ya maisha.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Michezo: FAR yaiangusha Bilima
    Ni mnamo tarehe 22 Decemba 1985 ndipo FAR, timu bingwa la Moroko, lilivikwa taji la ubingwa baada ya kutoka sare (1-1) na Bilima klabu bingwa la Zaïre katika pambano la marudilio, njini Lubumbashi katika nzunguko wa 21 wa kuigombea kombe Barani Afrika.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • MIAKA 20 YA MAPINDUZI YA ZAIRE
    Ni mnamo tarehe 24 Novemba 1965 ndipo mareshali Mobutu akisharikiana na maofisa wakuu alichukua madaraka ya uraïs wa Jamhuri.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • La vie dans nos clubs
    Au cours de son assemblée générale qui a eu lieu le 4 janvier dans les locaux attenants aux installations sportives du stade de Kadutu, le vice-champion de l'AFB s'est assigné pour objectif de remporter cette fois-ci le trône du championnat local, et de poursuivre la conquête des titres les plus enviés de cette discipline sportive.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Karaté: Ringo est-il vraiment maître?
    Le 17 janvier 1993 retera une journée inoubliable pour les sportifs bukaviens et les sympathisants qui attendaient un combat valable de karaté. Un jeune plein de courage a fait du karaté un sport de spectacle, un sport comme les autres, c'est maître Delphin, ceinture bleue. Une bonne initiative à encourager mlagré que la procédure ait été mauvaise.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kwako bibi: Ewe bibi, kwa nini ongezi mchana kutwa ?
    Ingawa mbea (ongezi, commérage) kati ya wanawake laoneke njema ni kwa kuwa kwani ukipita mikoani utasubutisha kuwa wanawake...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Koperative ya akkiba na mkopo: Benki kuu ya Zaïere yatia usawa kati
    Tokea sasa kila koperative akiba na mkopo yapashwa kwanza kupata ruhusa ya Benki kuu ya Zaïre mbele ya kwanza akazi zake. Wakuu wanaohuika na kazi za feza wapo hivi na shuruli ya kutia usawa katika viungo...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tarehe 17 novemba 1985: Majeshi ya askari yatimiza miaka 25
    Siku ya Mungu tarehe 17 novemba ndipo siku ya ukumbusho wa miaka 25 tangu hapo Jamhuri ya Zaïre kujipatia majeshi yake ya kiaskari...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kivu ya Kusini : Burhinyi : Mwami Muganga ajiuzulu
    Habari zinazoaminika toka kivu ya Kusini na zilizotolewa na mwaandishi wetu Musemi Kilondo Nkula anyehusika na kituo chetu cha habari wilayani humo zahakikisha...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Amitabh Bachchan "Deewar" ageuka mwana-siasa
    Kufuatana na habari zilizotolewa na mwandishi wetu Lubunga Bya 'Ombe toka Kinshasa, yasemekana kuwa Amitabh Bachchan, bingwa katika michezo ya sinema ajulikananae kwa jina la "Deewar" alichaguliwa hapo majuzi kama mteule (député) wa jimbo la UTTAR-PRADESH nchini India baada...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Shabunda : Mkoa wa Bakisi katoka magumuni
    Baada ya masimulizi mihimu yaliyofanyike kati ya Mwami Mopipi Bitingo na wiiongozi wa shirika la utengenezaji wa mabarara "Office des routes", yajulisha kuwa ujumbe moja wa chumba kinachohusika na ustawi wa kazi za ujenzi wa mabarara za shirika hilo utajielekeza katika mkoa wa Bakisi mtaani Shabunda katika siku za usoni.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kwako bibi: Ni lazima tumpeleke bibi katika kilabu ?
    Mgini tunamoishi mwa tendeka mambo ya kila aina. Kuna wale jamaa ambao wana wazo la kuwa kumpeleka bibi wa nyumbani nafazi zote ndio alama kamili la kusilimuka.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kamati kuu ya itafungua mkutano wake wa 10 mnamo tarehe 30 Septemba 1985
    Kulingana na habari zlilizotolewa na katiba imara ya kamati kuu ya Chama, kamati hiyo itafungua mkuyano wake wa kumi wa kawaida mnamo siku ya kwanza tarejhe 30 septemba 1985.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Hatari mlangoni : Kumbe tembo wateketezwa !
    Mungana husema : Siku za mwizi ni arubaini. Kweli masemi hayo hayo si ya uwongo kwani habari zinazaominika na zilizotolewa na mwandishi wetu Wakilongo Nyembo ambaue ahusika na kituo chetu mjini Goma...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Akina dada na kaka wetu si mujiheshimu !
    Ngoma ikilia sana haikuwi kupasuka na ivumayo haidumu hunema mzee mungwana. Kulingana na maneno hayo nimejiruhusu kushika tena kalamu yangu kwa kuwajulisha jambo moja linalotusonga moyoni wakati ninajitembeza mikoani.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kivu ya Kusini : Padri Gapangwa atajwa Ascofu mpya wa Diosezi ya Uvira
    Mnamo tarehe 27 julay 1985, Baba mtaktifu wa Roma, Papa Yoane-Paulo wa pili alimtaja padri Gapangwa kama vile askofu mpya wa diosezi katoliki ya Uvira.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Eti wandumba wa Bukavu washambulia Kivu ya Kaskazini !
    Panda ovyo hula ovyo na mpenda yote akosa yote. Maneno hayo ya muungwana hayakosi maana kama habari toka Goma, mji mkuu wa Wilaya ya Kivu ya Kashazini ni ya wandumba ya Bukavu.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Baada ya kula nyama yenyi kugonjwa watu watatu wafariki dunia
    Habari toka mtaa wa Masisi, wilayani Kivu ya Kaskazini, zajulisha kuwa watu watatu walifariki dunia katika mkoa wa Gatoyi baada ya kula nyama isiyopingwa na mganga.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Machache juu ya masimulizi ya Raïs Mobutu na Raia kijijini Kinkole
    Kama sidanganyike, nazani kuwa, na sisi wote twajua kama Waarabu walitesa mabatu utumwani na leo hii mbuni Kadhafi aliye pia Mwaarabu apoteza feza zake bure akituma watu wakukodeshwa kutia mizozo katika nchi ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Machache juu ya masimulizi ya Raïs Mobutu na Raia kijijini Kinkole
    Katika mpango wa kusherehekea miaka 18 ya sikukuu ya wavuvi na kuundwa kwa feza Zaïre, kijijili Kinkole (mjini Kinshasa), Baba wa Taifa, Raïs Mobutu Sese Seko, alisimulia na Raïa bila vipenge wakati alipokuwa akiwahotubia.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Jamhuri ya Zaïre yatimiza miaka 25 ya Uhuru
    Ni mnamo tarehe 30 Juni mwaka ya 1960 ndipo kazaliwa Jamhuri Zaïre. Tanguu tarehe hiyo ambako Taifa letu Zaïre lilijinyakulia ushindi katika mikono ya wahajiri (wakoloni) kutokana na juhudi zilizofanywa...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Uhusiano kati ya Ubeleji na Zaïre waimarisha
    Safari aliyoifanya Mfalme Baudouin, Malkia Fabiola na ujumbe muhimu toka nchi rafiki ya Ubeleji ili kusherehekea na Wana-Zaïre kumbukumbu yay miaka 25 ya uhuru wa nchi ya Zaïre iliimarisha uhusiano wao.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Bashizi Kanena : "Mwaka huu hatutaki mzaa"
    Ni siku ya tatu tarehe 19, baada ya kulisakanya timu la Zaïre-bank boa moja kwa bila bila siku ya Mungu tarehe 16 juni, katika pambano la kwanza, katika mchezo...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Waharamia 7 toka Lybia walionyeshwa kwa wapashaji wahabari
    Mareshali Mobutu na askari-jeshi wetu shujaa wawangoja wahusi wowote bila woga. Kisha kutangaza kwa habari juu ya vitendo vya uhuni na uharamia vilivyotaka kuendeshwa na wakafri 7 waliofunzwa nchini Lybia...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mkoa wa Kabare wakaa juu ya makaa ya moto
    Hapo majuzi, siku ya kwanza tarehe 27 may 1985, mwananchi Karhebwa Kanyabalirwa, makamu wa presidenti wa Baraza la washauri katika mkoa wa Kabare...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Uakili wa uchunguzi wa mishahara wafezeeshwa
    Ebu ! Mambo yamegeuka kunako uakili (commission) wa uchunguzi wa mishahara. Ingawa hao wanaohusika na hesabu na malipo mishahara (comptables) walivunduliwa na kupelekwa mbele ya waamzi na kuachishwa kazi, wamerudishwa kazini kwa mshangao mkubwa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kamati kuu ya chama : Mareshali Mobutu kakusanya wanamemba wa chumba imara
    Habari toka Kinshasa zajulisha kuwa, Mareshali wa Zaïre, Mobutu Sese Seko, Prezidenti muundaji wa Chama cha Mapinduzi, aliwakusanya wanamemba wa Chumba imara cha kamati kuu ya Chama na wakuu mbalimbali nchini kunako makao yake y Kampi Koloneli Tshatshi.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mama Bobi Ladawa awasaidia wagonjwa
    Mjini Kishasa, mke wa Raïs wa Jamhuri, Mama Bobi Ladawa, aliwatumia viongozi na wagonjwa wa Hopitali kuu Mama Yemo dawa na vifaa vingi kwa matibu ili mwelezo wa kwimarisha mpango wa miaka saba ya kijamii utimizwe barabara.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • ITALIA
    Bwana Ali Agça aliyetaka kumuua Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane-Paolo wa pili alieleza mbele ya waamzi ya kuwa silaha aliyotumia kwa kumpiga Baba Mtakatifu risasi na hivi kumuondowa dunia...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Eti ni "Wabwana kuu" ndio wachuuzi wa Risasi
    Wakati Baba wa Taifa, Mareshali Mobutu ahusika na kuinua maisha ya raïs pia usalama wa wakaaji na mali zao bila kusahau ukingo wa wanyama wanaowavuta watalili toka nchi za kigeni na kuingiza feza nyingi za kigeni...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kwako bibi : Ebu mama nchuuzi, feza hizo zote zatoka wapi ?
    Wakati Baba wa Taifa, Mareshali Mobutu atafuta majawabu kwa kuimarisha siasa ya kiuchumi na ya kijamii nchini.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • SUDANIA : Wakaaji milioni 11,5 waangamizwa na ukame
    Habari zilizolewa na Unicef zazulisha kuwa ukame waangamiza watu zaidi ya milioni 11,5 nchini Sudania ingawa serikali ya zamani ilikuwa ikificha hali hiyo
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Wazee wetu wachungwe !
    Kwa sasa hapa mjini Bukavu, ukatembea mikaoni na kandokando za mji, utapingwa na bumbuazi kiwakuta...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kwako bibi : Nyama ya kuku imeruhusiwa sasa ?
    Katika mahali mengi hila ya mabubu ili wakataza kabisa wanawake kula nyama ya kuku, nyama ama samaki fulani fulani.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Sungura kalia machozi, Bisimwa kasaga meno
    Kunako chuo cha Ibanda mjini Bukavu, mnamo tarehe 1 juni 1985, wajumbe wa wanamemba wa Shirika la akiba na mkopo (COOCEC) walikutana katika mkusanyo wao mkuu.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Raïs Mobutu kawasili Israeli
    Ni mnamo tarehe 12 Mai 1985, ndipo Raïs Mobutu na mkewe Boni Ladawa kawasili nchini rafiki ya Israeli.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kaddafi aturegezee !
    Kufwatana na mambo yanayofanyika barani Afrika kwa kutia nchi na viongozi kazaa Barani katika hatari, hasa hatua kali ya kumuua Baba wa Taifa, Prezidenti-Muundaji wa chama...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Sikash ipo tayari kwa kutengeneza mabarabara
    Kisha kuzinduliwa kwa visima vya maji ya kunywa huko Mushekere na liwali wa jimbo, bila kusahau vituo vya kutunziamo wagonjwa...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • CHINA: Mwananchi Mutiri aimarisha uhusiano kati ya Zaïre na China
    Kulingana na masimulizi aliyoyafanya makamu wa waziri mkuu wa nchi rafiki ya China, Bwana Tian Yiyun na ujumbe wa kamati-kiongozi ya muungano wa upashaji wa habari nchini Zaïre...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mnamo tarehe 20 mai 1985 : Chama cha mapinduzi "MPR" kimetimiza miaka 18
    Ni kweli miaka 18 imetimu tangu hapo Mareshali Mobutu kaunda kiserikali Chama cha mapinduzi "MPR" kunako jiji la N'Sele mwaka wa 1967 tarehe 20 may baada ya kutangaza nia yake hiyo kwa wapasha...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Michezo : Kombe la Afrika timu bingwa : Bilima Kaichakaza Cara
    Siku ya Mungu tarehe 19 may 1985, baada ya kuisakanya Cara boa moja kwa sifuri (1-0) kwenyi uwanja wa Mapinduzi (Stade de la Révolution)...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Habari za popote : Bukavu
    Kiongozi wa ofisi yenyi kuhusika na uchunguzi wa usafirishaji wa bizaa mipakani (Ofida), aliwasili mjini Bukavu ambako aliongoza kazi za seminari juu ya elimu na maelezo kazaa kwa wafanyakazi wa ofisi hiyo.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Les 19 ans de l'épiscopat de l'archévêque Mulindwa
    Dimanche, 24 mars 1985, l'Eglise catholique du Kivu avait fêté avec faste les 19 ans d'épiscopat de Mgr Mulindwa Mutabesha, archévêque de Bukavu.
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Arkidiosezi ya Bukavu na viongozi wa jimbo, wafia nini?
    Mjini Bukavu, wakaaji wapigwa bumbuazi kutokana na mzozo ulioko kati ya arkidiosezi katoloki na viongozi pia wakuu wa serkali jimboni. Kisa cha mzozo huo ni kiasi cha udongo chenyi hektari 6 na vipande amako nyumba 9 ngwa
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Arkidiosezi ya Bukavu na viongozi wa jimbo, wafia nini?
    Akiwahubiria wahuzuriaji katika misa kasomwa kwa ajili ya roho ya marechemu Mama Mobutu, mke wa kwanza wa Raïs wa Jamhuri ya Zaïre na ambale kafariki dunia tangu miaka 12 sasa,
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mwana wa 1989 kwa ufupi
    Katika mwezi wa: Januari: Masilizano kuhusu urafiki kati ya ufalme wa Ubelgigi na Jamhuri ya Zaïre kajulishwa 1: Prezidenti -muundaji wa Chama cha Mapinduzi "MPR", Mareshali Mobutu kawasiri mjini Mbuji-Mayi ambako
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Arkidiosezi ya Bukavu na viongozi wa jimbo, wafia nini?
    Ikichunguliwa kwa karibu, baaba ya uchunguzi kafanywa na Gazeti JUA, kiasi cha udongo wa hektari 4 kwa hicho cha hektari 6 kapewa Arkidiosezi kilipaswa kukabizwa eti kwa kikundi kimoja cha viongozi na wakuu serkalini.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Uhariri: Heri na Fanaka
    Kweli, maka 1989 Katezamiwa kupita kama umeme angani. Wote walio bado duniani twafurahia na kuukaribisha mwaka mpya 1990 tukishangilia Mwany Ezi Baba Mungu Muumbaji, kwa vigelegele.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • KWAKO BIBI: Eti kwanza kitenge cha sikukuu
    Siku za leo madarajani kote wakati siku za siku kuu zakaribia, mabwana husikia na waona cha mwende mukaone wasi jue la kufanya. Na hiyo ni kutokana na tamaa kawashika akina bibi hata mama wa jamaa wasijue magumu yanayosonga jamaa na watupilia mbali kujua pato la mme wakisisitiza tu kupata kwanza kitenge cha siku kuu.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Bukavu: Quand la région dispute une parcelle aux handicapés
    L'Archidiocèse de Bukavu agissant au nom du Centre de Réadaptation pour Personnes Handicapées "Heri Kwetu" a été dernièrement interdit d'accès à son chantier sis au quartier Karhale II non loin du laboratoire Médical Régional de Bukavu
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Padre Mulindwa katimiza miaka 19 ya kiaskofu
    Siku ya Mungu tarehe 24 Marsi 1985, wauminiwa dini ya kikatoliki wanaobaki jimboni mwa Kivu walisherehekea miaka 19 ya kazi ya kiaskofu ya Padre Malindwa Mutabesha...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Liwali Mwando : "Hatutaki fujo bali maendeleo ya mtaa wa Kabare"
    Siku ya nne, tarehe 27 marsi 1985, prezidenti wa chama aliye pia mwananchi Mwando Nsimba bako aliwakusanya viongozi mbali mbali wa mtaa wa Kabare (mikoa pamoja na vijijini).
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Marais Buyoya, Habyarimana na Mobutu wajikamilisha
    Ni katika mpongo wa uhusiano wapaswa kuweko kati nchi tatu, ndugu , rafiki na jirani yaani Burundi, Rwanda na Zaïre, nchi hizo kaunda muungano wa kiuchumi "CEPGL".
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • BABA WA TAIFA AZUNGUMZA NA RAIA KIDEMOKRASIA
    Muda wa siku tatu, tangu terehe 30 januari hadi 1 februari 1990, Baba wa Taifa, Mareshali Mobutu alistarehe na raia jimboni mwa Kivu ya Kusini katika ziara ya kiserkali mjini Bukavu ambako kapokelewa na kusindikizwa
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Uhariri: UTASHI BORA
    Muungano wa kiuchumi wa nchi zinazopakana na maziwa makuu (CEPGL) ambao kaundwa mnamo tarehe 20 septemba 1976 na kufikilia hapo makesho miaka 14, ingawa muda huo si mrefu
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Je umesikia ?
    KUWA mjini Bukavu wakaaji na wapita njia hasa wadereva watishwa bado na hali ya mabarabara? Kwa kuwa tu mashimo yaendelea kuchimbua siku kwa siku isiwe tu na maji ya mvua bali pia na hilo shirika la SOZAGEC lenyi kuhusika na kutawanya mirija ya maji safi ya kunywa baaba ya kuchimba
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou publié par Lubunga Bya 'Ombe il y a 2 ans
  • Liwali Dilingi katika ziara ya kiserkali mitaani mjini Bukavu
    Mnamo tarehe 8 hadi 10 Marsi, liwali Dilingi Liwoke La Milengo katembelea wakaaji wa mitaa ya Bagira, Ibanda na Kadutu ambayo yaunda mji wa Bukavu katika ziara ya kiserkali ya uchunguzi na ya kutolewa maelezo kamili kuhusu uongozi wa mitaa hiyo.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Uhariri: Fundisho kubwa mwalimu Mobutu
    Baada ya hewa ya kidemokrasia kuanza kuvutwa urusi, leo hii hewa hiyo yaonywa kupeperushwa isiyo tukatika nchi za kisosialisti zenyi kutegemea siasa ya kikomunisti Barani Azia Afrika na mabadiliko mengi yatukia katika uongozi wa vyama na siasa nchini ulimwenguni.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Wagonjwa wa SIDA, mzigo kwa umma
    Ugonjwa wa SIDA waonekana kuwa ugnjwa mpya amabao hutisha watu. Wakati ugnjwa huo humshika mtu, huyu aenekana kama "lufukaribu".
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mama Bobi Ladawa kazindua kijiji cha mayatima S.O.S Kinderdoof
    Mnamo tarehe 25 febbruari 1990 Mama Bobi Ladawa, mke wa Raïs wa jamhuri, Mareshali Mobutu, kazindua kijiji cha watoto yatima S.O.S.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Sifa na shukrani kwa Dactari RAU
    Kituo cha matibabu kaundwa na daktari RAU na kinachopatikana katika kijiji cha Chiriri kandokando ya mji wa Bukavu chajitatanua tangu mwaka wa 1985 kuyasaga na kuyalaza...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Le Gouverneur Dilingi tâte le pouls de son chef-lieu
    Du 8 au 10 mars 1990, le Président régional du MPR et Gouverneur de région, le citoyen Dilingi Liwoke la Milengo, a effectué sa première tournée de prise de contact, d'inspection et d'informations à travers la ville de Bukavu qui compte trois zones ayant 11 quartiers divisée en 40 cellules avec une population de 206.126 habitants dont 1.868 étrangers sur 44,9 km2.
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Santé/CEPGL: L'onchocercose à nos portes
    Les docteurs Bigirimana Jean-Claver et Nzamwita Augustin qui sont respectivement médecin provincial de Bujumbura (Burundi) et médecin-délégué de l'Office national de la population (ONAPO) du Rwanda, se sont, le 9 février 1990 à Bukavu, retrouvés avec le médecin-inspecteur régional du Sud-Kivu (Zaïre),
    Dossier publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mwezi ya nane ujao : Baba mtakatifu wa Roma, Yoane-Paulo wa pili atatembelea Jamhuri ya Zaïre
    Baba mtakatifu wa Roma, Yoane-Paulo wa Pili atawasili barani Afrika mwezi wa nae (Ogusti) ujao. Safari ya mheshimiwa huyo yalingana na mpango wa mafundisho ya Eklezia Katoliki ulimwenguni.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Ugonjwa wa moyo watoka wapi ?
    Mara kwa mara watu hupingwa na mshangao wakati wanapomuona mtu fulani kuanguka ao kukutwa kitandani amekwisha kufariki.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • DAFTARI KAMILI YA WANAMEMBA WA SERKALI
    Hapo majuzi Prezindenti-muundaji wa Chama cha Mapinduzi, Mareshali Mobutu, kabadidi wenyekiti madarakani katika Chama-serkali. Mabadiliko kafanya Baba wa Taifa yaonya kuwa ahusika na mwenendo bora unaopaswa kuweko katika kazi zahendeshwa kwa manufa
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou publié par Lubunga Bya 'Ombe il y a 2 ans
  • CODELU : L’electrification de Luhwindja en vue
    Lors de sa dernière Assemblée générale pour l'année 1989 tenue dans la salle Concordia de l'archevêché de Bukavu, la Coopérative pour le Développement de la Collectivité-Chéfferie de Luhwindja (CODELU) a présenté un bilan positif.
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Bukavu : Kodi juu ya vyakula imepigwa marufuku
    Kutoza ushuru juu ya vyakula mbali mbali kunako soko kuu ya Kadutu kumepigwa marufuku na mnyampara wa Bukavu, mwananchi Ndala wa Ndala.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou publié par Kaboyi Habimana il y a 2 ans
  • Muuaji Chifende Bengehya kasulubishwa !
    Mungua husema : siku za mwizi ni arubaini na damu ya binadamu haimwagike bure. Kulingana na masemi hayo, mnamo tarehe 4 februari 1985, fundimwizi Chifende Bengehya alitiwa kwenye ngoti ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Les barmen renouvellent leur comité
    En date du 5 janvier dernier, les représentants des barmen des zones urbaines des villes de Bukavu se sont réuni au bar "TUONANE" en zone-mêre de Kadutu sous la présidence du citoyen Chipanda Chirunza, 1er conseillé du comité urbain de l'Association des barmen de la ville ...
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Uhusiano kati ya China na Zaïre wadumishwa
    Ni tangu sasa siku nyi nchi za China na Zaïre zajitatanua kudumisha uhusiano wao katika mambo yenyikuelekea siasa, uchumi wa kiaskari.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mareshali Mobutu kafunga arusi na raia wake
    Nchi ya Zaïre yakusudia kusimika mambo kwa kuwatolea wakaaji maji safi kwa kunywa mahali mengi inchini mbele ya mwaka wa 1990.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Lusaka-Zambia : Uchokozi wa makaburu wa Afrika ya Kusini wapingwa
    Nchi za mstari wa kwanza (Etats de la Ligne de Force) unaoundwa na Nigeria, Angola, Tanzania, Msumbiji, Zambia, Zimbabwe na Botswana zilikutana mji mkuu wa Jamhuri ya Zambia ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mabadiliko mapya yamefanyika katika serikali
    Siku hizi, Mwanzilishi wa Chama cha mapinduzi, Rais Mobutu Sese Seko, alichukua atua ya kumboa kazini mwake waziri wa wazara ihusikayo na vyuo vikuu na uivasti nchini ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • PAKISTAN : Baba mtakatifu wa Roma yupo safarini
    Baba Mtakatifu wa Roma, Yoane Paulo wa pili, alivitembelea siku hizi Visiwa vya Philippines.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Uvira : Bado kidogo "Sucrerie de Kiliba" itapokea vyombo vipya
    Siku hizi, Liwali wa Kivu kwa muda, mwananchi Djoho Tayeta, alimpokea kwa masimulizi chumbani mwake mwa kazi kiongozi mkuu wa shirika lihusikalo na ulimaji wa miuwa na kutengeneza ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Bukavu : Mwananchi Disase anawashauri watumishi wa "Titres Fonciers"
    Baada ya kutambua kuwa uomboji wa vituliro, uuzaji na kutoa siri pia ukosefu wa zamiri ngema ya kazi vyakaribia kuozesha ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Coupe d'Afrique des nations : La finale de la 13ème édition en 1982
    Au premier plan de l'actualité sportive africaine, la Coupe africaine des nations, la plus prestigieuse compétition organisée par la Confédération Africaine de Football (CAF) sera disputé au cours du tournoi final de la 13ème édition prévue pour 1982 en Libye.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Viongozi wa chama wa mawilaye na mitaa watatajwa
    Kamati ya Chama cha Mapinduzi jimboni mwa Kivu ilikusanyila siku zilizopita katika mkutano moja maalum, chini ya uchunguzi wa naibu wa Liwali wa jimbo ya Chama mwananchi Djoho Tayeta.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mwananchi Kahegeshe achaguliwa tena kubaki mkuu wa "Aneza" jimboni
    Siku ya sita tarehe 21 februari 1981, wafanyabia shara katika mawilaya mbali mbali jimbo mwa Kivu walikutana kunako chumba cha maonyesho ya kiutamaduni cha Ufaransa mjiniBukavu iti kuchagua kamati yao mpya, yaani, "Aneza".
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Ujapani : Papa Yoane Paulo wa pili aliwataja mawhahidi 16 kuwa wenyiheri
    Kwa mara ya kwanza katika istoria ya kanisa katolika, Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane Paulo wa pili aliwataja mashahidi 16 kuwa wenyiheri (bien heureux) nja wa mji wa Roma.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Amerika : Utawala wa Rais Reagan wa punguza misaada ya kiserikali
    Wamerekani wakusudia kuipunguza misaada ya kiserikali duniani. Ila yaminika kuwa misaada itatolewa kwa nchi za Kenya.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kenya : Rais Arap Moï aendelea na ziara za kiserikali katika nchi mbalimbali
    Kisha kuzitembelea nchi mbalimbali za Bora la Asia, Rais Arap Moï wa Kenya aenza kuzitembelea sasa nchi za Bora la Afrikaakianza na Nigeria atakamobaki muda wa siku nne.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Pakistani : Gari la mabawa lilitekwa nyara
    Siku zilizopita, gari labawa lashirika la Pakistani lilitekwa nyara na waharamia watatu wa jamaa moja na kujielekeza Damad mji kuu wa chi ya syria.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tunisia : Uhusiano kati ya Tunizia na Zaïre wadumushwa
    Habari kutoka redio Rwanda zajulisha kuwa uhusiano kati ya Jamhuri za Tunisia na Zaïre wadumishwa. Ni hivi nchi ya Tunisia yashidia kujenga chuo cha majifunzo yay uongozi wa kazi za serikali mjini Kinshasa (administration et fonction publique).
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Rwanda : Raia na wanajeshi walipewa Nishani
    Habari kutoka Rwanda zatujulisha kuwa siku ya pili tarehe 10 februari 1981, Jemadari Habyarimana, rais wa Rwanda, alipana medali kwa wanajeshi mia salasini na sita (136) na waraia sitini na saba (67).
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kigali : Nchi za Rwanda, Burundi na Tanzania zilikutana
    Habari kutoka Rwanda zajulisha kuwa mkutano moja maalum uifanyika jumaa hii kati kati ya nchi za Rwanda, Burundi na Tanzania kuhusu uchumi wa mali kati ya nchi zipatikanazo kandokado ya bonde la mto wa Kagera ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kampala-Uganda : Waganda wafukuzwa nchini Kenya
    Gazeti "Uganda Times" lashtaki nchi ya Kenya kwa hatua kati iliyochukuliwa na serikali na kuwafukuza raia wa Uganda nchini humo bila sababu yoyote.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tunizia : Mawaziri wa nchi za kiislamu walikutana
    Mkutano wa mawaziri wa nchi za kiislamu wahusikao na mambo ya kigani ulifanyika nchini Tunizia. Katika mkutano huo, Moritania ilishtaki Moroko kuwa iliwasaidia maharamia kutaka kuipindua serikali mpya.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Volley-ball : Ouverture de la saison
    Samedi dernier, les amateurs bukaviens de volley-ball se sont donné rendez-vous au stadium de l'Institut Pédagogique pour inaugurer l'ouverture officielle de la campagne 1981 de leur discipline.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Pour quand la mise à la retraite des arbitres de l'A.F.Bu. ?
    La Fédération zaïroise de football Association (FE.ZA.F.A.) a rendu public, au mois de février, une circulaire demandant aux Ligues de retraiter les arbitres dont l'âge de 50 ans commence à produire des effets.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Harare : Mahusiano yadumisha kati ya Amerika na Zimbabwe
    Habari zinazominika zajulisha kuwa, ujumbe moja maalum toka Marekani ulioongozwa na bwana Peter uliwasili kiserikali pa Harare, mji mkuu wa Zimbabwe.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Banda : Mwananchi Otshudi katika mikoa mbalimbali ua mji wa Bukavu
    Mwananchi Otshudi Yolama, katibu wa Chama ahusikae na uhimizaji pia maadibisho ya siasa jimboni alitembelea siku hizi mikoa mbalimbali ya mji wa Bukavu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • UEFA : St. Etienne éliminé
    Selon Radio France International lors des quarts des finales, la formation française de St Etienne a été éliminée sans contestation par la redoutable équipe anglaise le FC Ips Wich à Londres en match retour par 3 buts à 1.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kampala-Uganda : Angalisho imepewa kwa maharamia
    Waziri ahusikae na usalama na amani nchini Uganda, alipana angalisho kwa mkaaji yeyote anayepinga serikali pya inayoongoza na Rais Milton Obote.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Washington-Amerika : Yafaa Namibia iwe huru kabisa
    Ujumbe moja maalum toka Marekani unaongozwa na bwana Peter utawasili katika nchi mbalimbali za Afrika. Habari zinazoaminika zahakitisha kuwa rais mpya wa shirikisho la Amerika bwana Reagan ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Freetown/ Sierra-Leone : Mkutano wa Umoja wa Mataifa
    Huko Freetown, mkutano wa Umoja wa mataifa ulikutana kuhusu uchumi kati ya mataifa huru ya Afrika. Katika mpango huo, katika mkuu wa muungano wa kiuchumi wa nchi huru za Afrika zijiunge pamoja ....
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Ryad-Arabia : Uhusiano kati ya Arabia na Afghanistan umevunjwa
    Habari kutoka redio Rwanda zajulisha kuwe uhusiano kati ya Arabia na Afghanistan umevunjwa kutokana na serikali ya nchi hiyo kuhusiana na Urusi wakitengemea hivi vikosi, silaha za vita vipatikanavyo nchini ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans