-
Kinshasa : Watu 12 walifariki kutokana na msiba ya ndege
Siku ya posho tarehe 14 ogusti iliyopita, ndege moja ndogo (petit porteur) iliyokuwa ikitoka kwenyi uwanja wa ndege wa Ndolo na kujilekeza Boma ilianguka katika mkoa wa Matonge na kusababisha vifo vya watu 9 kwa rafla.
Swahili
publié par
Lubunga K'Yoba
il y a 2 ans
-
Kinshasa : Mipango mipya kwa kutangaza enjili
Tangu tarehe 7 hadi 14 aprili iliyopita, wachungaji (pasteurs) wa makanisa mbali mbali ya kiprotestanti walikusanyika kwenyi "Lycée Dr. Shaumba"...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
Lubunga K'Yoba
il y a 2 ans
-
Direction Générale des Contributions, L'OPTIMISME DE MUDERHWA
La Direction Générale des Contribution entend traquer, pour cette année 1990, tous ceux qui ne veulent pas se conformer à la loi. Sans être ce qu'on a qualifié plus tôt de terroriste fiscal, cette direction veut amener les débiteurs à payer leur impôt grâce à des procédure de recouvrement forcé et les pénalités de retard de paiement.
Informations générales
publié par
Lubunga K'Yoba
il y a 2 ans
-
Kwa kupiganisha "Kolera" yafaa kutumia maji safi
Nilipigwa na bumbuazi (msangao, étonnement) niliposoma katika magazeti ya kwamba ugonjwa wa kipindupindu (kolera) waangamiza raia huko Bukavu.
Swahili
publié par
Lubunga K'Yoba
il y a 2 ans
-
Tuzungumze : Unicef yahimiza wazazi wachungue afya ya watoto wao
Shirika la Umoja wa mataifa linalohusika na ukingo wa watoto (UNICEF), limetangza ya kwamba zaidi ya watoto milioni 1,2 wanafariki kila mwaka kabla ya kufikia umri wa miaka mitano.
Swahili
publié par
Lubunga K'Yoba
il y a 2 ans