-
Bukavu : Fundi-mwizi "Talo" na wafuazi wake watatu wamenaswa
Usiku wa siku ya pili tarehe 24 kuamkia ule wa siku ya tatu tarehe 25 februari 1981, askari walinzi wa usama mikoani waliwanasa fundi-mwizi Biringamine Toto ajulikanae zaidi kwa jina la kihuni "Talo" ...
Swahili
publié par
Nyuki
il y a 2 ans
-
Maboyo-Beni : Wachimba zahabu kimagedo wanatomboka
Habari zenye kuaminika toka kijini cha Maboya, katika mkoa wa Beni; kijiji kipatikanacho kwenye kitambo cha kilometri makumi mawili na mkoa wa Butembo zahakikisha kuwa, kundi moja la wachimba zaabu kimagendo limewashambulia askare jeshi wawili ...
Swahili
publié par
Nyuki
il y a 2 ans
-
Hali ya mlimo nchini
Mavuno ya mahindi hayatoshi kwa kuweza kulisha wanazaïre jinsi inavyostahili. Kwa hajili hiyo, wakuu na wataalam nchini walitanya vyote wawezavyo ili waweza kujifunza na kupata majawabu hayo yatimizwa moja moja kutokana kuongezwa kwa mavuno ya mahindi mchini ili wakaaji wapate kula kwa shibe.
Swahili
publié par
Nyuki
il y a 2 ans
-
Lubarika-Uvira : Kwa nini mwananchi Maboko anawatesa wakaaji ?
Siku hizi, msomaji wetu Nakatele Gombarino alituandikia kibarua chake jii kutujulisha magumu ya kila aina ambayo wakaaji wa mkoa mdogo wa Luvungi wanatendewa kila mara na mshauri wa kazi za serikali katika mkoa huo mdongo upatikanao katika mkoa wa BAfulero.
Swahili
publié par
Nyuki
il y a 2 ans