-
Kifo cha Ndadaye, Mapinduzi kwa damu
Jaribio la kuipindua serkali lililofanyika na kundi la askari-jeshi nchini Burundi yalainiwa na mataifa ulumwenguni pia laonekana tu la ukabila.
Swahili
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 4 ans
-
Kuhusu majadiliano ya chumba cha raia huko kinshasa
Twajua sote ya kama yapata miaka mitatu, nchi ya Zaïre yakabilwa na mizozo na shida za kila aina.
Swahili
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 4 ans
-
Afya: dawa kwa ugonjwa wa malaria
Ni jani moja toka huko uchina liitwalo "quighoa" ambalo laaminika na sasa kuwa dawa halisi kwa ugonjwa wa maleria.
Swahili
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
publié par
Toka MFI
il y a 4 ans
-
L'ADEM veut urbaniser Muhungu
Action pour le développement de Muhungu (ADEM) s'organise pour urbaniser ce quartier de la zone d'Ibanda. Si l'assemblée générale du 26 juillet 1992 a fait le point de l'action de l'ADEM, celle du 16 Août de la même année avait procédé à la toilette des statuts de ce syndicat d'initiative présidé actuellement par M. Saidia Mulamba Ndagano...
Sud Kivu
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 2 ans
-
UDSP/Sud-Kivu yaleta uwasiwasi
Tangu upo bwana Faustin Birindwa ateuliwa kunako "conclave" ya Kishasa kuwa waziri mkuu, mambo ayaemdeki barabara kunako UDPS/Sud-Kivu. Wengi wahakikisha kuwa kuna mchafuko mkubwa kunako UDPS, baazi ya viongozi wake jimboni huwa na hali ya kibaridi na ya kimya.
Swahili
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 2 ans
-
SOCOODEFI yapinga njaa mtaani Fizi
Ikiwa kuna miradi ya maendeleo jimboni mwa Kivu ya Kusini iletayo mabadiliko vijijini, shirika la Socoodefi (Société coopérative pour le Développement de Fizi) ni moja wapo.
Swahili
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 2 ans
-
Le cas Birindwa au coeur des débats
Le cas Birindwa inquiète et divise l'opinion au Sud-Kivu. Jua a été dans divers milieu: familial, scientifique, politique, toute tendance et humeurs confondues, pour en savoir d'avantage. Voici quelques messages et déclarations...
Débat
publié par
Bruno Kassa Malonga
publié par
Dieudonné Malekera
publié par
Eyenga Sana
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 2 ans
-
Birindwa wa UDPS ni yuda?
Kuhusu bwana Faustin Birindwa, gazeti JUA kapendelea kujulisha kwa wasomaji wake yale yasemwayo na vijana wa BBC/Carrefour, mitaani kadutu pa Bukavu. Ndugu P.M. ambaye ni prezidenti wa "Buholo Businessman, Carrefour" (BBC) aloa maoni yake.
Swahili
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 2 ans
-
Tuzungumze: Gani habari ya kweli ?
Baada ya mamlaka tatu ya serkali: mamlaka ya kutenda (pouvoir exécutif), mamlaka ya sheria (pouvoir législatif) na mamlaka ya haki (pouvoir d'informer) iitwayo mamlaka ya ine. Makundi ya watu hayawezi kwishi bila kupasha...
Swahili
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 2 ans
-
Afya: Sherti wanaozalisha waelimishwe
Wamama wanaozalisha kwa mjia kiasili wafanya kazi njema vijijini barani Afrika. Kitendo hicho chatokana na kitambo cha mahali wakaapo na hospitali, malipo ya matibabu na mara wamama wengi vijini hawajui...
Swahili
publié par
Mutungwa Abandelwa Phély
il y a 2 ans