• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Qui serait l'archevêque de Bukavu?
    C'est en 1996 que son Excellence Monseigneur Aloïs Mulindwa tient les rênes du diocèse de Bukavu.
    Actualités publié par Kimengele Kimode il y a 4 ans
  • Le MEB tend la main au maire de Bukavu
    S'il n'est pas possible de faire une étude scientifique des relations qui unissent l'homme et son milieu ambiant ( ce qui est la première définition de l'écologie) il est tout de même possible de protéger son environnement (sa deuxième définition) par les moyens tout à fait accessible à tous...
    Actualités publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Tuzungumze: Tufanye je tunapaolikwa ?
    Sheria ya kwanza ya kufwata unapoalikwa nayo ni ya lazima sanani kuheshimia wakati. Fika kwa wakati usicheleweshe wala kungojelesha wenzako somo ao wale ambao waliokualika...
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Tuzungumze: Adabu wakati wa kula
    Kwa siku za kisasa watu wengi uzoea kula muzani pahali pa mkeka. Kwa kula mezani lakini na kwa kulapo na adabu kanuni zipo za kufata...
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Adabu katika msalani
    Katika migi na vijijini vyoo ni vya aina moja na katika migi mikubwa...
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Adabu kwenyi kisima cha kuogelea
    Siku za leo huona huku na kule kufanyika visima vya kuongela. Kuongela, kweli, ni moja kati ya michezo kamili (sport complet) na inafaa kuucheza kwani una mafaa mengi kwa afya.
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Adabu kwa kula chakula
    Unapoitwa kwa jirani kwa kufurahi ao kusikitika naye mara nyingi utaelikwa pia kula. Kwa ginsi yako ya kula au ya kunywa hutambua malezi ambayo ulipita nyumba ni kwa wazazi...
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Adabu nyumbani mwa Sinema
    Katika Afrika ya kisasa watu karibu wote wajua sinema vizuri sana na hupenda kuiona mara nyingi. Kwa kweli sinema, zaidi yay kutufurahisha, inatuelimisha na kutupatia maarifa mangi...
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Tuzungumze: Adabu kwa wazee
    Katika nchi za Ulaya na za Amerika huona watu kuzarau wazee. kwa siku hizi wana-Afrika wengi huanza kuiga kigeni. Ndiyo hivo huwasikia mara na mara kuwatusi wazee, kuwazomea na kuwazarau wakiwatendea kwa kanyoro na wakiwajaza aibu.
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Tuzungumze : Adabu ya saa zote kwa madereva
    Hapa nita simulia juu ya yule ambae gari silake, yule ambae kutembeza ndiyo kazi yake.
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans
  • Adabu za saa zote: DEREVA AO MTEMBEZA GARI
    Hapa tutasimulia juu yule ambaye gari si lake, yule ambaye kutembeza gari ndio kazi yake.
    Swahili publié par Kimengele Kimode il y a 2 ans