-
KWAKO BIBI: Ni nani hazae kati ya bwana na bibi?
Wakati uzazi wakosekana katika familia fulani, watu wengi huzazi kuwa ni nini tu ndiye asiye na uwezo wa kuza.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
KWAKO BIBI: usikubali binti wako apigwe bei kama mbuzi
Leo, mazungumzo yetu yataeldea tatizo la mali ya kuolewa kwa mabinti wetu wenye umri wa watu wazima.
Actualités
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
Kwako Bibi: Unaweza Kupiganisha ukosefu wa masikilizano nyumbani
Kama tulivyozungumza nanyi siku zilizopita, visa vinavyokuwa msingi wa kuvunjika kwa ndoa ni vingi.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
Kwako bibi: Vitunguu sumu ni dawa ya kweli
Tangu zamani, Vitunguu sumu vilikuwa vikitumiwa kwa kutunza magonjwa mbali mbali.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
Kwako bibi: "Herpes" ni hatari sana kwa watoto wachanga
kama tulivyozungumza nawe siku zilizopita, magonjwa mengi yanayoweza kuwzzmbukia wanawake wenye mimba yaweza kuwaambukia vile vile watoto wachanga hata kuwararua.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
kwako bibi: Kinga wabinti wako kwa "Rubéole"
Tangu zamani, ugonjwa wa "rubéole" haukukuwa na dawa yoyote kwa kuweza kujipanya.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
kwako bibi: Usimpevushe mtoto wa mwenzako
Kila mwanadamu ana iazima ya kuishi katika jamu ya watu.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Zimbabwe: Wazalendo wa vyama vinavyopinga Mugabe Wanarudi nyumbani
Habari zinazoaminika kutoka Zimbabwe zaeleza kuwa kundi la kwanza la wazalendo wa vyama vinavyompinga waziri
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
En décembre prochain: un important colloque sur la nouvelle réforme de l'enseignement aura lieu à Bukavu
Sous l'égide de la division régionale de l'enseignement primaire et sécondaire, il se tiendra en décembre prochain, un colloque sur la nouvelle réforme de l'enseignement primaire et secondaire à Bukavu.
Actualités
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
kwako bibi: tunaweza kuchanjwa kwa kuepuka ugonjwa wa maini
Kuna aina mbali mbali zamagonjwa ya maini. Uchunguzi wetu wa leo utaelekea hasa magonjwa yanayo shambulia maini yaitwayo "hépatite A"
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
A l"occasion du 3ème anniversaire du décès de mama Mobutu
Le peuple zairois a commémoré, le 22 octobre, le troisième anniversaire de la mort de Mama Mobutu Sese seko.
Actualités
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
kwako bibi: Mishahara ya wanawake yaweza kuleta magumu?
Ikiwa mazungumzo yetu ya leo yaclekea mishahara ya wanawake, ni sababu ya fujo ya kila aina tunayotambua katika jamaa ambame bibi ni mfanyakazi
NENO LA WASOMAJI
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Bukavu: Wanawake masikini walipewa vitenge
anazaire walishererehekea, siku ya tatu tarehe 22 oktoba mwaka huu ukumbusho wa miaka mitatu tangu kufariki kwa Mama Mobutu.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
La citoyenne Muadi Mwamba en tournée: L'amélioration des conditions de travail de la femme à l'ordre du jour
En tournée de sensibilisation et de conscientisation dans les différentes régions de la République, la citoyenne Muadi Mwamba, secrétaire nationale du bureau de l'UNTZA chargé des problèmes féminins(BUPROF) a séjournée à Bukavu
Actualités
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
"UNTZA" yahusika na maisha ya wanawake wanaotumika
Hi ni sehemu ya mwisho ya habari zilizotangazwa juu ya matembezi ya kina bibi Mwadi wa UNTZA Jimboni.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Kwako Bidi: tutunze vema vidonda vya kutokana na moto
Mara nyingi, watoto wetu huungua kwa maji ya moto, mafuta yanayochemshwa kwa kukaanga chakula, chai ao maziwa, mvuke wa sufuria jikoni na kazalika.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
La place de la femme Murundi au sein du parti UPRONA
Par le canal de l'union de toutes les "Barundikazi" qui a vu le jours le 3 mars 1976, la femme murundi participe activement à la vie nationale.
Informations générales
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Fin du premier symposium de la femme travailleuse
Sous les auspices de l'UNTZA et du centre Afro-Américain du travail, le 1er symposium national de la femme travailleuse zaîroise portant sur le thème du conditionnement social et ses effets sur les droits fondamentaux...
Actualités
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Fin du premier symposium de la femme travailleuse (fin)
Durant ces journées de réflexion, se sont succédés à la tribune différents conférenciers tant internationaux que nationaux dont les thèmes tournaient autour du bien-être familial
Nouvelles du Kivu
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
"PASTEUR" Wakanga Meso "7 è CEGZ" amesimulia juu ya Misionari Vinton
Kufuatana na malala miko ya wakaaji wa kama kuhusu mwenendo wa bwanaVinton huko kama, tulilazimishwa kutafuta mwanga katika tawilake la 7è CEGZ mjino Bukavu.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Mkutano wa kwanza wa wanawake wafanyakazi umekoma
Kulingana na aliko la chumba kihusikacho na mahusiano mema kati ya mashirika ya wafanyakazi katika bara la afrika na shirikisho la umoja wa Amerika.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Kamati ya vijana watumishi imesiimikwa katika shirika B. ISRAEL
Siku ya sita tarehe 20 Decemba 1980, kamati ya vijana watumishi katika chama cha Mapinduzi katika shirika "B. Israël et Fils" imesimikwa na kuonywa kiserikali kunako hoteli Metropole mbele ya mwenyekiti wa mji ya Bukavu, muananchi Lokomba Kumuadeboni.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kwako bibi: Wanyama wenye wazimu waambukiza wakaaji ugonjiwa huo?
Ikiwa tunazungumza na wasomaji wetu juu ya ugonjwa wa mbwa, paka ao wanyama wanye wazimu (animaux enragés), ni hasa katika ukomo wa kuepuka ugonjwa huo unaweza kumuambukia binadamu wa kati unapoumwa na waniama wenye ugonjwa huo wa hatari.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Wakati gani kupewa posho?
Ikiwa tunazungumza katika maandishi yetu na kujiuiza wakati gani ambao kina mama aweza kupewa kwa kulisha familia yake, ni sababu ya malambiko mengi ya nayotufikia toka pepo nne za jimbo letu kuhusu fujo inayotukia wakati mabwana mapokea mishahara yao.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kwako bibi: Vinyume vya biashara vya "domo"
Siku hizi wakaaji wa miji mikuu kuvukwa na kazi ya kufanya bishera heta wakati hawana feza za kutisha kwa kuanza kazi hiyo. wengi wao wasukumwa kufanya hivyo wapate kutunza vema familia yao, kinua maisha yao banifsi na wengina kwa ou pe kali ya kuvimbisha mifuko yao.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kwabo bibi: Ni vema kujua mshahara wa mme ao mke wako?
Kusudi kwa koyumununula movazi ya lazima kadiri wasemavyo
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kwako BIBI: Kina mama wamoja wachuuzi wanaojielekeza kamembe wanakafilisha
Kina mama wengi wa mji wa Bukavu hujielekeza kunako maduka na soko mbali mbali katika jimbo la (Cyangungu)....
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Quand et comment donner l'argent destiné à la ration alimentaire?
Les ménaces qui habitent les grands centres ont de nombreux problèmes mais à l'heure actuelle celui de s'approvisionner en denrées alimentaires...
Informations générales
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kwako bibi : "Mwanamimba" ni ugonjwa gani ?
Kina mama wengi washambuliwa sana na ugonjwa wa tumbo hasa magonjwa yanayoshambulia njia za uzazi. Pahali pa kujielekeza hospitalini wanapougua ao kuumwa tumboni, wengi kati yao hupuuza hasa zaidi wakati wanapotambua kuwa maumivu hayo yawasonga hasa pande za sehemu ya chini ya tumbo.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kwako bibi : Penye kilio sio mahali pa vilabu vya pombe ya mikutano ya vimada
Wakaaji wengi, wanaume na vile wanawake wamemwona sahau kabisa maana kamili ya kujielekeza nduu ao marafiki waliofiwa na kuwasaidi kadiri inavyowezekana.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
ANEZA/BUKAVU : La conscientisation des hommes d'affaires à l'ordre du jour
Elu le 21 février 1981, le nouveau comité de l'Aneza/Bukavu est déjà sur la brèche. Hier dans l'après-midi, il a tenu sa première réunion de prise de contact à laquelle ont pris part tous les membres de ce comité sous-régional.
Actualités
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Réglement des prix de la bière dans la ville de Bukavu
Suite à la lettre n° DENIC/BCE/0697/80 du 18 avril 1980 du commissaire d'Etat de l'économie Nationale, le citoyen PAY PAY SIAKASIGHE portant sur la dérogation des prix de consommation des boissons, le gouverneur vient de créer une commission de contrôle qui est chargée de coter tous les débits de boisson ...
Actualités
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Uchunguzi mkali wa vilabu wafanyika mjini Bukavu
Tngu siku ya nne tarehe 26 februari mwaka huu, makamu wa mwenyekiti mjini Bukavu, mwananchi Mawanga Tsongo - Tsongo ni mwenyikusimamia kundi lihusikalo na uchunguziwa viabu vya pombe katika mkaa yote ya mji wa Bukavu.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Mitetemeko ya dunia ilisikia mjini Bukavu
Mnamo siku ya kwanza tarehe 2 marsi pa saa saba na dakika 50, siku ya pili tarehe 3 marsi pa saa nane za usiku na siku ya nne tarehe 5 marsi mwaka huu pa saa 12 za asubuhi, mitetemeko ya dunia yamesikia mjini Bukavu pasipo kuleta hasara yoyote.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Bukavu : Bado kidogo wapangaji wa "Bonas" wenye madeni watafukuzwa
Siku ya tatu tarehe nne marsi 1981, haibu wa Liwali wa Kivu ahusikae na mwenendo bora wa kazi za serikali, mwananchi Makolo Jibikilay alimpokea katika masimulizi chumbani mwake mwa kazi kiongozi wa tawi ...
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Mwananchi Mbalaga alisema : Wilaya ya Maniema yakusudia kukamilisha mpongo wa kuongeza mazao ya mashamba (PAM)
Mnamo siku zilizopita, wenyeviti wa mawilaya yote jimboni walikutana mjini Bukavu ambako walizungumza kikazi na katibu mkuu wa Chama chetu cha Mapinduzi Bo-Boliko Lokonga Monse Mihombo.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kwako bibi : Ni nani msingi wa uzazi wa aina moja tu ya watoto ?
Wengi kati ya wazazi wapatwa na huzuni kubwa moyoni mwao wababu wamepata bahati mbaya ya kuzaa aina moja tu ya kuzaa aina moja yu ya watoto. Ni kusema kwamba kuna jamaa zinazopata tu watoto wakiume ao watoto wakike.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kadutu : "Centre social" yawaomba wabinti na kina mama kujiandikisha wengi
Siku ya kwanza tarehe 23 Marsi 1981, mwenyekiti wa mtaa wa Kadutu, mwananchi Mulyanga Mugobe, amepokea mchumbani mwake mwa kazi kiongozi wa kitua cha maelimisho ya kazi za mikono na ufundi wa ujuzi wa mambo ya kijamii kwa kina dada na mama Kalmeri.
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Askari jeshi watafanya mazoezi ya vita
Habari zanye kuaminika ambao zilitangazwa na "Sauti ya Zaïre" mjini Kinshasa zahakikisha kwamba, tangazo moja maalum toka chumba cha kazi za kamanda mkuu wa askari jeshi wote nchini, Jemadari Mobutu Sese Seko laeeleza kuwa siku hizi vikosi mbali mbali wya askari jeshi ...
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans
-
Kwako bib : Hakuna ugonjwa wa haya !
Ikiwa wataala! wamekwisha vumbua dawa nyingi za kupinga na kukomesha kabisa magonjwa mbali mbali, magonjwa mengine ya hatari yazidi kutesa na kuharibu mwili wa binadamu wengi ingawa wanafahamuvema kuwa kuna dawa inayoweza kuponya mapema ...
Swahili
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 2 ans