-
Bukavu: Kwa nini wachunguzi wa bei hawasaidie serikali kuleta usawa magukani na sokoni
Kila mmoja wetu ajidai kuwa mwananchi wa kweli.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Kifupi cha maisha ya Raïs Mobutu
Raïs Mobutu Sese Seko, alizaliwa mjini Lisala, Tarehe 14 oktoba 1930 katika kabila ya Ngbadi.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Bwana Kronacker alisema: Nitafanya vyote niwezavyo ili Shirika ya Kiliba intengeneze toni 30.000 za Sukari kwa mwaka
Siku hizi, bwana Kronacker, mtajiri na mkuu wa wabeleji wanaochanga mali yao kwa kutumikisha shirika lihusikalo na utengezaji sukari pa kiliba
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Bukavu: "SONAS" Iliwalipa wanafunzi watano kwa misiba iliowatukia
Siku ya sita tarehe 18 oktoba 1980, kiongozi wa shirika la Bima, yaani "SONAS" humu jimboni
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Luvungi: "P.A.M." si kazi ya mzaha?
Siku hizi, kiongozi wa mkoa mdogo wa luvungi, mwananchi Ndaye Kimbumbu yupo katika kazi ya kuwanimiza wakaaji wake
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Lokomba alisema: "Raïs Mobutu ni mwanye mapendo makuu kwa wananchi"
Siku ya kwanza tarehe 27 oktoba 1980, mwenyekiti wa mji wa Bukavu mwananchi Lokomba kumuadeboni alisimamia mkutano wa pekee wa kiraia kunako soko kuu "Mama Mobutu"
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
mwananchi Chizungu Bahirwe alitajwa kuwa kiongozi wa katana
Siku ya tano tarehe 31 Oktoba 1980, naibu wa mwenyekiti wa mtaa wa kabare, mwananchi Madua, alijielekeza pa Irhambi, mkoa mdogo wa katana,
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Les billets démonétisés de la "Coocec/Kivu" ont été échangés
Le 25 décembre 1979, devant le petit écran de la télévision national, le Zaïre a fortement bougé.
Informations générales
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Ujenzi wa kivu ni mapashwa ya kila mkaaji
Siku ya kwanza tarehe moja desemba 1980 wakati wa jioninaibu wa liwali wa kivu ahusi.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Makolo amesema: "Bukavu haisonge mbele!"
Gazeti letu "JUA" lilikwisha andika mengi na hata kuwatolea mashauri bora wenyeviti wa mitaa popote mjini Bukavu
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
ANEZA/ Kabare yahusika kabisa na Plan Mobutu
Siku hizi, mwenzi wetu ndugu tisa mayele kamondo wa sauti ya Zaïre mjini Bukavu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
sange-Luberizi: Mwananchi ilondo Efambe alichungua kituo cha mlimo na ufugo cha "J.M.P.R."
Baada ya kufika mjini bukavu na kuonywa chumba chake cha kazi, naibu wa kiongozi wa vijana katika chama cha Mapinduzi jimboji ambaye ahusika na uongozi wa tawi la kilimo
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Safari ya mwananchi Makolo kindu na Goma
Liwali wa kivu, mwananchi Mwando Nsimba, aliwakilishwa kindu na naibu wake ahusikaye na uchunguzi wa kazi za serikali
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Raïs Mobutu yupo katika matembezi mjini Paris
Baada ya kushiriki katika mkutano wa nne wa kilele wa marais wanamemba wa shirikisho la kiuchumi wa nchi zipatikanazo kando kando ya maziwa makuu
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Djoho awahimiza wageni kutumika vizuri
Akiendelea na mpango wake maalum wa kukutana na makundi mbali mbali ya wakaaji ili wapate kujenga moyo wa mapendo
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kinshasa: Liwali Mwando ahuzuria mkutano wa serikali
Siku ya tatu tarehe kumi Desemba 1980, mwananchi na liwali wa kivu, mwananchi Mwando nsimba aliondoka mjini Bukavu na kujielekeza katika ziara
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kadutu: Mwananchi Musole anakusudia kupunguza bei ya vyakula
Siku hizi, naibu wa mwenye kiti wa mtaa wa kadutu, mwananchi Musole Maharaza Nyabangere ni mwenye kuendesha uchunguzi maalum kabisa
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Bukavu: Yafaa viongozi wa mikoa washurulike zaidi na miporomoko ya udongo
Zaidi ya juhudi zinazofanywa daima na kamati ihusikayo na ukingo pia maendeleo na ujenzi wamji wa Bukavu
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Enyi ndugu tuliowachagua, mnasahau kazi zenu asbabu ya uchuuzi?
wakati uchaguzi uliendeshwa popote nchini mwaka 1977, ndugu zetu waliongombea nafasi katika chumba cha siasa
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kindu: Mwananchi Mbalanga aliwaomba wenyeji wa mahoteli waheshimu wapangaji
Siku hizi, mwenyekiti wa whaya ya Maniema mwananchi Mbalanga alisimama mkutano maalum wa kikazi ambano anzungunza kimapinduzi na we.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Raïs Mobutu alisema mjini Paris kuwa
Mwanzilishi wa chama cha Mapinduzi, Raîs Mobutu Sese Seko anayepatikana Paris
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Wakaaji wamoja walibadilisha
Tangu siku ya tatu tarehe kumi na saba mpaka siku ya tano tarehe kumi na tisa Desemba 1980, wakaaji, watumishi katika vyunga
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
senegal: Raïs Senghor atajiuzulu
Habari zenye kuaminika toka Dakar, mji mkuu wa Jamhuri ya Senegal zahakikisha kuwa, Rais Léopol Sedar Senghor atajiuzulu kazini mwake.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
kadutu: Mwananchi Musole anakusudia kupunguza bei ya vyakula? (suite)
Tutaelewa hapa kuwa, katika ukomo huo bora wa kupunguza bei ya chakula katika mtaa wote wa kadutu
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Lettre à nos élus
Ces derniers temps, la disette se manifeste sur toute l'étendue urbaine de Bukavu.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Le PDG de la "SONAMO" a sejourné à Bukavu
Le Président Délégué Général de la Société Nationale de la Main d'oeuvre, le citoyen Tshimbuka a séjourné à Bukavu du mardi 16 au jeudi 18 décembre dernier.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Les Ets Zagabe Nyamulinduka se préoccupent de la culture vivrière
Durant la deuxième quinzaine du mois de novembre, le chef de la collectivité de Ngweshe, la Mwami-kazi Naweza Budjana mwa Naluganda avait parcouru toute l'étendue de sa juridiction politico-administrative.
REPORTAGE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Djoho alisimamia sherehe ya miaka 47 ya Kituo cha "INERA-Mulungu"
Siku ya kwanza tarehe 22 Desemba 1980, naibu wa liwali wa kivu ahusikae na mwenendo bora wa siasa jimboni mwananchi Djoho tayeta alisimamia sherehe ya kumbukumbu ya miaka 47.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
SNCZ/Bukavu: priorité au ventre
Pour épargner sa main d'oeuvre en particulier et tous ses travailleurs en général à la vie sociale qui est devenue presque inténable à Bukavu ces derniers temps, la sncz vient de céer une cantine en faveur des agents.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
La citoyenne Amina et le couple Souza remportent les concours d'élégance et de danse
Sous le heut patronnage du commissaire urbain de Bukavu, le citoyen Lokomba Kumuadeboni, l'association des barmen de la zone d'ibanda a organisé le samedi 3 jancier 1981 des concours d'élégance et de danse.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kivu ya kushini: Waunguzi wa asili waendelea vema na kazi zao
Mnamo siku zilizapita kiongozi kwa muda wa kamati ya waunguzi wa asili (wafumu) katika wilaya ya Kivu ya kusini, muananchi Kakozi Kithesi alisimamia mkutano moja maalum wa mwisho wa mwaka ambano alijifunza pamoja na mwezie...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kampala: Afrika ya mashariki yakusudia kurudisha shirikisho lake la kiuchumi
Habari zenye kuaminika toka Kampala, mji mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Kahakikisha kuwa, Tanzania, Arap Moi wa kenya, Milton Obote wa Uganda (wa-liohuzuriwa na mwenzao Keneth Kaunda wa Zambia) kukutana kizazi mjini Kampala, waheshimiwa hao walkusudia kurudisha shikisho lao la kiuchumi kuletamo usawa kama ilivyokuwa hapo zamani.
Shirikisho la kiuchumi la nchi za Afrika ya Mashariki ambalo lililoundwe tangu nchi hizo kujipatia uhuru lilivunjika mnamo mwaka 1977, wakati mizozo ya kisiasaili ilitukia kati ya nchi hizo jirani.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Rwindi: Ulalo mpya umejegua juu ya mto Kanyasembe
Siku hizi, shirika la kiserekali lihusikalo na ujelalo, kwa kifupi "office des routes", limejenga ulalo mpya juu ya mto Kanyasembe ambao wapatikana katika shamba la wanyama la Rwindi, Rutshuru.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu: Wananchi Salumu na makolo washusika na mabodilishano ya biashara kati ya shaba na kivu
Kisha kubaki muda wa siku nne kisangani, mji mkuu, jimbo ya Zaïre , ya juu, naibu wa liwali wa Kivu ahusikae na kazi za serikali, mwananchi Makolo Jibikilay, alimpokea mjini Bukavu mwenzie wa jimbo jirani la Shaba, mwanachi Salumu Amisi. Huyu alifika siku ya kwanza tarehe 21 januari 1981 akitokea Lubumbashi.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Butembo: Matayarisha ya ujenzi wa Kivu ya Kashaziki yamefanyila
Kulingana na amri iliyotangazwa kiserikali na Liwali wa Kivu kuhusu mipango inapashwa kutayirishwa na wenyeviti wa mawilaya kwa ajili ya ujenzi na maendeleo ya jimbo la kivu.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Uvira: Mwananchi Kombozi aliapa kuwa atabaki mwaminifu kwa Raïs Mobutu
Habari kamili toka mjini Uvira, makao makuu ya wilaya ya kivu ya Kusini zahakikisha kuwa naibu mpya wa mwenyekili wa mtaa wa Kalehe, mwananchi Kombozi Mashua Bonjoko, aliapa kuwa atabaki daima mwaminifu kwa Raïs Mobutu Sese Seko na nakutumika serikalimu she ria za Jamhuri ya Zaïre.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Le pésident Mobutu à la presse belge: "Mon peuple me soutient"
Le président fondateur du MPR, Président de la république, mle citoyen Mobutu Sese Seko, a accordé vendredi, 16 janvier 1981, une importante interview, au camp Tshatshi, à la presse belge.
composé d'une dizaine de journalistes de différents organes de presse belge , le groupe des journalistes reçus par le Chef de l'Etat revenait de Mbuji-mayi après y avoir séjourné pendant vingt-quatres heures.
Politique
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Ukimya na amasi vipo Fizi Baraka
Siku Fizi, kundi moja maalum la watanganzaji habari toka miji ya "Bruxelles" nchini Ubelgiji na "Paris" Kafika Jamhuri ya Ufaransa. Limefanya ziara ya kiserikali katika jimbo la Kivu hasa katika ya mtaa wa fizi, moja kati ya mitaa ya wifaya ya kivu ya Kusini.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwananchi Djoho Teyeta yupo,katika uchunguzi wa kazi za Chama
Siku hizi, naibu wa Liwali wa Kivu ashusikaye na mwenendo wa siasa mwananchi Djiho Teyeta, apatikana Katika wilaya ya kivu ya Kaskazini ambako ashurulika kwa mara ya kwanza na uchunguzi katika vyumba vihusikavyo na kazi za Chama.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Baada ya Kubaki mateka muda wa siku 444 nchini Iran
Walumishi 52 katika ubalozi wa Marekani mjini Théhéran wallachwa huru nakupokewa kwa shanwe kubwa na Raïs Ronald Reagan mjini Washington.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Cyangugu-Rwanda: Bwana Majyambere amefungua kiwandacha uuzaji na utengenezaji wa magari ya aina ya "DATSUN" na "NISSAN"
Siku ya sika (Jamamosi) tarehe 24 Januari 1981, wanachama cha Mapinduzi kihusikacho na maendeleo nchini Rwanda tako pepo nne za jimbo la Cyangungu, walikutana malfu katika mtaa wa Cymbogo ili kusherehekea kuzinduliwa kwa kiwenda kinachohusika na uuzaji, pia utengenezaji wa magari ya aina ya "Datsun" na "Nissan".
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Hakuna masikilizano bora yaliyopatikana kati ya watetezi wa wafanyakazi na walimu
Siku ya pili tarehe tatu februari 1981 wakati wa saa kumi kisha mchana, naibu wa katibu mkuu katika shirika la kiserikalilihusikalo na kuleta haki za wafanyakazi
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwananchi Makolo alisema: Bei ya biashara ni ghali sababu ya upuuzi wa wachunguzi wa bei jimboni na mjini Bukavu
suku ya tatu tahere 28 januari 1981, nafou wa Liwali wa Kivu ahusikaya na kazi za serikali, mwananchi Makolo jibikilayi, aliwakaribisha chumbeni mwake wa kazi mwenyekiti wa mji wa Bukavu , mwanamapinduzi lokomba Kumuadebani, nakiongozi wa vyumba vya serikali vihusikavyo na uchumi, akiba na uchunguzi wa bei ya biashara jimboni, mwananchi Mutombo
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Rais Reagan alikutana na wapasha Habari
siku ya nne tahere 29 january 1982 wakati wa usika nchini Amerika, Rais mpya Ronald Wilson Reagan alikutana kwa manzungumzo kwa mara ya kwanza tangu kuwa rais wa america na watangazaji wa nyumba mbali mbali za habari mwake.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwananchi Djoho alisema : Upuuzi wa viongozi waharibu maendeleo kivu ya kaskazini
Tulipoanza maandishi yetu haya kuhusa hali na mambo yenke kupita kila mara katika wilaya...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Jamadari Likulia yupo kati yesu
Jemadari Likulia anayepatika na katiza ziara ya kiserikali jimboni mwa Kivu tanga...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Goma : Chumba cha feza chapashwa kujilisha matumizi ya kiasi cha zaires 200.000
Habari zenya kuaminike toka Goma, mji mkuu wa wilaya ya Kivu...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Lubero: Seheru kubwa ya pori la Itondi yarudishwa kwa wakaaji
Habari kamili toka chumba cha kazi liwali kwa muda.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Rutshuru: Mwenyekiti mpya wa mtaa mwananchi Kombozi alionywa mbele ya wasaidizi wake
Habari hamili toka Rutshuru, makao makuu ya mtaa mwenye kuwa na jina hilo zahakikisha kuwa, mwenyeki....
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu: Biro ya mipango na maendeleo jimboni imeziduliwa
Siku ya kwanza tahere kumi februari 1981, mwenyekiti wa mipango mbali mbali ya maendeleo nchini...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Mwananchi Ngengo, Balezina Mwendambali waliiba kahawa za "Ozacaf" na "Pharmakina"
Naiou wa kiongozi ahusikaye na uchungaji wa kahawa katika kiwanda wha shirika la "Ozacaf" mwananchi Ngengo akisaidiwa na wevi wenzie Balezi na Mwendambali ....
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Katibu mkuu wa Chumba cha kugombea haki ya wafanyakazi nchini ameachishwa kwa muda madaraka yake
Mnamo tarehe 19 Februari 1981, katibu mkuu wa chumba cha kugombea haki ya wafanyiakazi nchini (UNTZa), mwananchi Mukwakani Gahungu, aliachishwa madaraka yake yote kwa muda.
La chronique Politique
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Leo, Katibu mtendaji xa Chama cha Mapinduzi Bo-Boliko atasimulia na wanachama kunako "Ciné-Rwacico"
Katibu mtendaji wa chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa, mwanasiasa Bo-Boloiko Lokonga aliyefika ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kalembe-lembe/Fizi : Kina mama Lusembula Selemani ahusika na kuinua maisha ya vilema !
Tangu, tarehe 16 julayi 1980, kina mama Lusembula Selemani alisimika pa Kalembe-lembe, mjii mkuu wa mtao wa Fizi, kutuo binafsi kihusikacho na kuwasaidia ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Watu 24 waifariki nchini Philippines
Kulingana na habari zinazoangazwa siku hizi na radio mbali mbali popote ulimwenguni, yaaminika kuwa kundi moja la watu wasiojulikana bado liliweza kuleta fujo nchini Philippines na kuuwa wananchi wapata mawili na wanne.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Zimbabwe : Askari 55 wa ukombozi waliuawa kando kando ua mji wa Bulawayo
Habari zenye kuaminika, ambazo zilitangazwa na Sauti ya Ujerumani Magharibi, zahaki kisha kuwa, siku hizi makundiya askari wa majeshi ya ukombozi nchini Zibambwe ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kindu : Ujombo maalum toka Kinshasa ulihusika na maisha ya vijana wanaofunza kazi pa Lokandu
Siku hizi, ujumbe maalum toka mjini Kinshasa ambao uhongowa na mmoja kati ya washauri wakuu kunako wizara ihusikayo na mahisha ya jamili nchini (Affaires sociales) ....
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kabindula-Uvira : Ndugu Muvira Siwavira gazeti Jua si baraza la utitia !
Katika gazeti letu namba 99 la tarehe 31 Januari mpaka 6 Februari 1981, tulitangaza kibarua cha musomaji wetu Muvira Siwavira, kibarua ambamo akweleza mengi ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
ANEZA : Le citoyen Kahegeshe succède à lui-même
Samedi le 21 février 1981 dernier, le Centre culturel français a servi de cadre pour l'assemblée annuelle de l'Aneza/Kivu. Des délégués de différents comités sous-régionaux s'y étaient rendus, nombreux, en vue de passer en revue des problèmes de leur association et d'élire, si besoin était, un nouveau Conseil général.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Uvira : Luvungi une localité pilote qui se meurt !
Quand on parle de la collectivité des Bafulero, tout citoyen averti du Sud-Kivu en particulier et de la région en général, voit en premier lieu Luvungi, la localité pilote de cette entité politico-administrative.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Une randonnée sur le lac Kivu ce dimanche
L'Association Touristique de Bukavu (AS.T.B.) organise ce dimanche 1er mars 1981, une randonnée sur le lac Kivu à destination de l'île d'Idjwi et plus précisément au petit pont de Monvu.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Liwali Mwando atawapokea leo mjini Goma waziri mkuu mbelegi Martens na mwenzie Nguz
Bahada ya kupata matunzo mjini Bruxelles, nchini Ubelegi na kurejea nyumbani kwake pa nyofu.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Waandishi wawili wagazeti JUA waalikwa Ujerumani Magharibi
Mwaka huu, Jamhuri rafiki ya Ujerumani ya Magharibi iliwaalika wa gazeti "JUA" wyeti vya kuweza kujielimisha zaidi katika kazi zao. Ni hivi kiongozi wa gazeti "JUA" mwananchi Mutiti-wa-Bashara atakaefanya Gafari yake ya uchunguzi katika sehemu ya Goethe.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Barabara imetengenezwa kwa wasafari tokea Bukavu mpaka Walikale
Kulingana na mafazirio tuliyotolewa na naibu wa mwenyekki wa mtaa wa Walikale, barabar ni wazi sasa toka mjini Bukavu mpaka Walikale na vivi hivi.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Gbadolite : Rais Habyarimana alizungumza na mwenzie Mobutu kuhusu mahusiano bora
Mwanzo wa juma hii, Rais wa Jamhuri jirani na ndugu ya Rwanda, Jemadari JUvénal Habyarimana alikutana mjini Gbadolite katika mazungumzo ya kikazi na mwangazie Jemadari Mobutu Sese Seko ambamo walichungwa kwa karibu mahusiano bora ya nayokuwa daima katika ya Rwanda na Zaïre.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kinshasa : Kina Mama Bobi Ladawa alizungumza na wanawake wa mabalozi
Siku hizi, mke wa Rais Mobutu Sese Seko kina mama Bobi Ladawa aliwapokea katika masimilizi kwenye meli "M.S/Kamanyola" wanawake wapaka makuni tano (amsini) wa mabalozi na wasimamizi wa mashirikisho makuu ulimwenguni wanaowakilisha nchini zao mjini Kinshasa.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Luvungi : kijiji cha lazima kinachosahuliwa !
Wengi kati yetu hasa kabisa wanachama wenye kuelewa hadisi za mkoa wa Bafulero, watakualiana nasi kwamba ujio, ngao na maendeleo ya mkoa huo yatokana na kijiji cha luvungi kinachoongozwa na suitani wa kweli wa asili, kijana Ndaya Kimbumbu.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Katibu mkuu wa chama alikuwa jimboni mwa Kivu
Tangu siku ya tano tarehe 20 mpaka siku ya Muangu tarehe 22 februari mwaka huu, katibu mkuu wa Chama, mwananchi Bo-Boliko Lokonga alikuwa katika ziara ya kikazi mjini Bukavu.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Luvungi : Une localité pilote qui se meurt !
Grâce aux travaux collectifs de Salongo, la population de Luvungi, vient de construire un centre de traitement médical dans le but de lutter contre le choléra qui se manifeste ces jours dans la plaine de la Ruzizi.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Rais Mobutu alizungumza kikazi na waziri mkuu Mbeleji Martens
Aliporejea mjini Kinshasa akitokea Lusaka, mji kuu wa Jamhuri ya Zambia ambako alizungumza kikazi na mwenzie Kenneth Kaunda wa Zambia kuhusu mahusiano bora yanayodumu daima kati ya Zaïre ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kiliba-Uvira : Mwananchi Amisi na Kamanda wa askari jeshi wajuta ujanja wao katika joja
Habari kamili toka Uvira, makao makuu ya ywilaya ya Kivu ya Kusini zahakisha kwamba, kiongozi-mshauri wa mwandachi AMISI na mwenzie kamanda wa askari jeshi wapatikanao ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Vyumbu vya uzazi kwa kina mama vitazinduliwa
Siku ya tatu tarehe kumina moja Marsi 1981, naibu wa Liwali wa Kivu ahusikae na kazi za serikali, mwananchi Makolo Jibikilay alichungwa kazi za ujenzi wa vyumba vya uzazi kwa kina mama vinanyojengwa kunako hospitali kuu mjini Bukavu.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Leo tarehe 14 Marsi 1981 pa Kinshasa : Rais Mobutu atazungumza na maliwali
Mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa na waziri wa mambo ya ndani, mwananchi Duga Kugbe Toro, pamoja na mwanasiasa Liwali wa Kivu Mwando Nsimba Shaba waliondoka mjini Bukavu jana siku ya tano tarehe kumi na tatu Marsi 1981 ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwananchi Djoho alikubali kuwa : "Amani, sharia na kazi" vyadumu popote jimboni
Baada ya kuchungua wilaya ya Kivu ya kaskazini kwa jumla na mtaa wa Walikale kwa upekee, naibu wa Liwali wa Kivu ausikae na mwenendo bora wa Chama cha Mapinduzi, mwananchi Djoho Tayeta alikubali kuwa ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Mwananchi Lokomba ashurulika na maendeleo mjini
Siku hizi, mwenyekiti wa mji wa Bukavu, mwananchi Lokomba Kumuadeboni alisimamia mkutano moja maalum ambamo alizungumza kikazi na mwanamemba wa kamati ya washauri wake waliojifunza pamoja jinsi bora itakayowaruhusu kuzidisha maendeleo mjini.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwami Lenge wa tatu :"Tuungane kwa ujio bora wa watoto wetu !"
Siku ya kwanza tarehe mbili Marsi 1981, Mwami Lenge wa tatu Rugaza Kabale wa mkoa wa Bavira alisimamia mkutano moja maalum pa Kabindula, makoa makuu ya usultani na wa mkoa wake na kuwashauri wasaidizi wake waungane pamoja kwa maendeleo na ujio bora wa watoto wao.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
En séjour à Bukavu, le citoyen Birere : "Que la masse laborieuse épaule le Guide à lutter contre les difficultés"
Profitant de son congé parlementaire dans le chef-lieu de la région, le membre du Comité Central du Parti et premier secrétaire parlementaire, le citoyen Birere Mabano s'est adressé mardi dernier aux cadres politico-administratifs ainsi qu'à toute la population de Bukavu conduit par le commissaire de région chargé des activités du parti ...
Actualités
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
L'inauguration de la maternité de l'hôpital général
L'inauguration de la maternité de l'Hôpital générale de Bukavu interviendra le 20 mais prochain. Cette nouvelle a été annoncée par le Commissaire de région chargé de l'Administration, le citoyen Makolo Jibikilay, à l'issue de la visite sur le chantier qu'il a effectué en compagnie du commissaire sous-régionalmal urbain de Bukavu ...
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Uvira : 24 heures avec Ndongala et son orchestre Singa Mwambe
Des mélomanes kivutiens ont été informés par les médias locaux de la présence dans la région de l'orchestre Singa Mwambe de Kisangani, formation musicale de l'artiste musicien Ndongala Tokanwa (Garcia).
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Le citoyen Muliri invite la population à doubler de vigilance
Le samedi 14 mars 1981, le secrétaire sous-régional chargé de la mobilisation et de l'orientation politique, le citoyen Muliri Muhumusa a présidé un important rassemblement populaire à l'intention des militantes et militants de la localité de Ndendere.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwenga : Le citoyen Bitinapaga et les routes d'intérêt agricole
En rapport avec l'exécution du Programme Agricole Minimum (P.A.M.), le commissaire de zone de Mwenga, le citoyen Bitinapaga a trouvé une nouvelle formule de réfectionner les routes d'intérêt agricole, plus spécialement celles des collectivités de Burhinyi, de Wamuzimu et d'Itombwe.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
La tournée de l'animateur politique sous-régional a pris fin
Le citoyen Nyembo Simaundu, animateur politique sous-régional à titre provisoire vient de clôturer une tournée de sensibilisation et de contact qu'il a débuté depuis le 11 février à travers les toutes 3 zones urbaines et les grandes entreprises de celles-ci.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
RAis Obote awaalika wafuasi wa Idi Amin kurejea nyumbani
Lakini, tarehe kamili na ya mwisho ya kurudi kwa wafuasi hao wa zamani wa Idi Amin Dada hazijakamilishwa bado. Ila, ilijulishwa kama wale wananchi ambao hawawezi kurejea mbele tarehe kakayokamilishwa, hawaweza tena kukubadiliwa na kupokewa nchini Uganda.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Nouakchott : Moritania yavunja mahusiano ya kibalozi na Moro o.
Habari zenye kuaminika toka chumba cha weziri ahusikae na mambo ya nje pia mahsiano bora mjini Nouakchott (Moritania) zahakikisha kuwa, baada ya kugundua mazumuni ya kutaka Rais Aidallah nchini Moritania ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Mwananchi Muliri awaalika wakaaji wazidi kuwagundua maadui
Siku ya sita tarehe 14 Marsi 1981, katibu ahusikae na maadibisho pia uongozi bora wa kazi za Chama mjini Bukavu. Mwananchi Muliri Muhumusi alisimamia mkutano moja maalum wa kiraia akihuziwa na Liwali kwa muda mwaanchi Djoho Tayeta ambamo alizungumza kimapinduzi na wakaaji wa mkoa wa ndendere.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mkutano wa kawaida wa Chumba kikuu cha siasa watezamiwa kutunguliwa mnamo tarehe 27 marsi
Siku hizi, mwanzilishi wa Chama cha Mapinduzi, Jemadari Mobutu Sese Seko alikutana katika masimulizi ya kikazi na maliwali wa majimbo pamoja na yule wa mji wa Kinshasa katika mali yake bihatsi "M.S./Kamanyola".
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Paris : Mwananchi Boùboko alitetea juu ya manusiano bora na uchumi kati ya Ufaransa na Zaïre
Katika muda wa siku zote alizobaki mjini Paris, nchini Ufaransa, mwanamemba wa chuma kikuu cha siasa ambaye ni naibu wa waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje pia ahusiano bora kati ya chi mbali ulimwenguni na Jamhuri yetu ya Zaïre ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwanasiasa na katibu mkuu katika bunge Birere : "Yafaa wanachama wote wamsaidie Rais Mobutu Kumaliza magumu nchini"
Siku hizi, mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa nchini aliye pia katibu mkuu katika baraza ja wabunge, mwananchi Birere Mabano aliyekuwa katika mapumziko mjini Bikavu ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Siku arbaini za mwizi mkuu "Ours" zimetimia !
Wangwana wamesema kuwa : "siku za mwizi ni arbaini t !" Siku hizo arbaini (kamumi nne) zinapaona, sherti kabisa ujanja na upuuzi wa mwuizi huo ukomeswa.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kwako bibi : Jinsi bora ya kuepuka mizozo katika unyumba !
Wengi kati ya dada zetu wenye ndoa huwa wanajiuliza kutaka kujua jinsi bora inayoweza kuwaruhusu kuepuka mizazo kati yo na waume wao katika unyumba kutoka na tabia ngumu ao mbaya ya bwana.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwenga : Mwananchi Bitinapaga anakusudia kutengeneza upya mabarabara ya mikoa
Siku hizi, mwenyekiti wa mtaa wa Mwenga mwananchi Bitiapaga ni mwenye kukusudia kabisa kutengeza upya mabarabra ya mikao mtaani mwake hasa kabisa yale ya Burhinyi, Wamuzimu na Itombwe.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kinshasa : Rais Mobutu alifungua mkutano wa pili wa kawaida wa chumba kikuu cha siasa
Siku ya nne tarehe 26 Marsi 1981 wakati wa mchana, Mwanzilisha wa Chama cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri Mobutu Sese Seko alisimamia shereka maalum kunako jumba kubwa la taifa lili kufungua kiserikali kazi za mkutano wa pili wa kawaida wa chumba kikuu cha siasa nchini.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Angalisho kwa wakaaji
Ugonjwa mkali wa huhara unaombukia na kuwaangamiza vikali siku hizi wakaaji wa Kivu ya Kaskazini; ungonjwa ambao ulitokea katika kijiji ona Kisenyi ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Wamza-Kabambare : Kalanga yakosa wanunuzi
Wamaza ni moja kati ya mikoa mnamo limwa ama mbali ya chakula katina mtaa wa Kabambare, wilaya ya Maniema.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Habari za kiaskari : Jemadari Singa alichukuwa hatua muhimu
Baada ya kutambua kama wamoja kati ya askari jeshi wetu walianza kuzaramu na kusahau kabisa mapashwa, mwendendo na kanuni z kazi yao, mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa ambaye ni mmoja ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Afrika ya kusini : Askari wa kukodiwa toka Ulaya Magharibi ni wengi
Siku hizi, radio mbali mbali ulimwenguni kote zahakikisha kwamba askari wengi wa kukodiwa toka Ulaya ya Magharibi na shirikisho la Amerika ni wengi katika Jamhuri isiyokuwa halali ya Afrika ya Kusini.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Uganda : Mauti kumi na nne zimeokotwa porini
Juma hii, mauti ya watu kumi na wanne, wakitambulikana kati yao watoto wawili wenye umri wa kufwata masomo zimeokotwa katika pori moja nchini Uganda.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kinshasa : Liwali Mwando N'Simba alipokea na waziri Mvuendi
Habari zenye kuaminika toka mjini Kinshasa zahakikisha kwamba, mwanasiasa na Liwali wa Kivu Mwando Nsimba Shaba alipokewa katika mazungu mzo ya kikazi na waziri ahusikae na masomo ya msingi na yale ya sekondari nchini ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bado kidogo vilato toka Uvira mpaka Fizi vitajengwa upya
Bado kidogo vilalo vipatikanavyo katika barabara inayounisha mji wa Uvira na mikoa midogo ya Kamanyola upande wa Kaskazini na - Lubumba - Ngandja - Mutambala - mpaka makao makuu ya mtaa mwenyewe wa Fizi, upande wa Kusini vitajengwa upya.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kina mama wa nchi za Burundi, Zaïre na Rwanda wakutana katika seminari pa Gisenyi
Tangu siku ya tatu tarehe moja Aprili 1981, waziri Mnyarwanda ahusikae na maisha bora pia maendeleo ya kijamii, bwana Ntagerura André alisimamia kazi za kufungua seminari moja maalum inayokusanya pamoja ujumbe mbali mbali za shirikisho ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Amerika : Rais Ronald Reagan ameponyoka kifo
Habari zenye kuaminika toka Washington, makao makuu ya shirikisho la Amerika zaeleza kwamba, Rais Ronald Reagan nchini humo ameponyoka kifo cha risasi siku ya kwanza tarehe 30 Marsi 1981.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
"Cimenterie de Katana" itaanza tena kazi zake
Habari zenye kuaminika zaeleza kuwa, mnamo siku zijazo, shirika lihusikalo na utengenezaji wa simenti (seruji) katika mkoa mdogo wa Katana (Cimenterie de Katana) litaanza tena kazi zake za kutengeneza kifaa hicho.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bukavu : Vyombo vipya vya Sauti ya Zaïre vimefika
Baada ya kubaki mjini Kinshasa na kurejea nyumbani pa Bukavu, kiongozi kwa muda wa chumba cha kazi za serikali kihusikacho na upeperushaji wa habari kwa njia ya redio, mwananchi Katshunga Shabani alijulisha kuwa, vyombo vipya vya Sauti ya Zaïre mjini Bukavu vimefika.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Bamuguba-Kigulube : Ubaguzi wa dini waharibu pia maendeleo na masikilizano kati ya makaaji !
Zaidi ya matatizo na magumu mbali mbali, kuna ubaguzi wa dini unaoharibu maendeleo ujenzi na masikilizano kati ya wakaaji wa mkoa mdogow a Bamuguba, mkoa wa Kigulube, mtaa wa Shabunda.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kinshasa : Kina mama Bobi Ladawa alizindua kazi za ujenzi kituo cha vilema "Bondeko"
Mwaka tunao, yaani mwaka 1981, ulitangazwa na jemadari Mobutu Sese Seko kuwa mwaka utakaoshurulika kwa kuinua maisha bora ya kijamii nchini. Ni hivi, kila mkuu katika Chama na serikalini ni mwenye kuhusika kwa karibu na jambo hilo muhimu.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Kinshasa : Rais Mobutu alizungumuza na makaaji ya chumba kikuu cha siasa katika meli MS/Kamanyola
Siku ya nne tarehe sita Aprili 1981wakati wa mchana cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri, Jemadari Mobutu Sese Seko aliwapokea katika mazungumzo wanamemba wa makamati mbali mbali ya chumba kikuu cha siasa waliomtolea ripoti kuhusu kazi katika meli ya binafsi "MS/Kamanyola"
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Wakimbizi milioni tano watawanyika popote katika nchi za Afrika
Tangu Bara la Afrika kutikiswa na uhuru pia siasa, chumba kikuu cha Umoja wa mataifa kihusikacho na maisha ya wakimbizi popote ulimwenguni kulitangaza kwamba, wakimbizi milioni tano watawanyika popote katika nchi za Afrika.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Leo siku ya sita, Rais Reagan atezamiwa kutoka hospitalini
Habari zenye kuaminika ambao zilitangazwa na radio "Washington" siku ya nne tarehe tisa Aprili 1981 wakati wa asubuhi, saa za Mashiriki nchini Zaïre zahakikisha kwamba ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Yafaa maderewa waheshimu wasafiri wao !
Mapendo, adabu na heshima, ni mambo ya lazima kabisa katika maisha ya binadamu. Ni hivi, kila dini, wazazi wetu na masomoni twafundishwa na kuombwa kila mara tuwe na mapendo ya kweli kati yetu, yulindiane adabu na kuheshimiana.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwananchi Sowa asimika mabomba za maji katika Bonde la Ruzizi
Tangu mwaka 1978, mtaalam ao enjinia katika kazi za kuchimba mifereji, visiwa na kusilika bomba za maji safi ya kunyiwa katika sehemu ya Kaskazini - Mashariki nchini Zaïre,mwananchi Sowa ameshurulika na kazi hizo muhimu katika vijini vya Rubare ...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwananchi Bashige alisimamia seminari ya "Aneza-Kabare"
Mnamo siku zilizopita, shirika la muungano wa wachuuzi na wafanyabiashara wadogo na wakuu nchini katika mtaa wa Kabare, "Aneza-Kabare" ilisimamia seminari moja maalum kabisi iliyodumu muda wa siku mbili katika makao wa mtaa huo chini ya uchunguzi wa prezidenti wa kamati hiyo, mwananchi Bashige Buyungu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans