-
Jibu kwa barua : Mwananchi Kabutura, mchuuzi wa kasikisi aache ubaguzi !
Jua mpenzi, uniruhusu kujibu kwa barua ya mwananchi Bahaya Karhinga aliyejificha kwa jina la Buhendwa Lufulwabo ambayo ulitangaza katika gazeti lako lenye namba 106 lilipingwa chapa tangu tarehe 21 mpaka 27 Marsi mwaka huu.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Kayna-Lubero : Viongozi wa masomo waweze kupunguza mishahara ya walimu ?
Jua mpenzi, hii ni sauti ya mmoja kati ya wasomaji wako inayokufikia toka Kayna katika mtaa wa Lubero ili kukujulisha magumu yake ya kazi kwa kuweza kujaliwa na mwanga wako.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Bukavu : Zamu wa "Pharmakina" huiba kweli kuni za shirika lao ?
Jua mpenzi, Mimi ni msomaji kati ya wasomaji wako wa daima. Ikiwa ninakuandikia barua hii, sina ukomo wa kuwa shaki bure zamu wa shirika "Pharmakina", bali kukuomba uwashauri ili wapate kujisahilisha katika makosa na vitendo vyao.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Uvira : Viongozi wa "Institut Hekima" wanaleta haya !
Jua mpenzi, Pokea malalamiko yetu sisi wanafunzi wa "Institut Hekima" hapa Uvira, masomo yanayosimamiwa na "Coordination Kimbanguiste".
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Bukavu : Television yaharibu maadibisho ya watoto wetu
Jua mpenzi, nilijaribu kukuandikia mara ya kwanza katika siku zilizopita, lakini haukutangaza brua yangu.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Bukavu : Ukosefu ni ulema ?
Jua mpenzi, "tembea ukaone, duniani kuna mambo !" Ikiwa naenza barua na kingilio hicho, ni sababu ya msangao ninaosiku hizi kufuatana na matendo ya ndugu na marafiki wangu.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Kabare : Wakaaji wataendelea kulima mashamba ao hapana !
Jua mpenzi, sisi wakaaji wa mtaa wa Kabare, hasa kabisa wa ngambo za Mudaka, twa jiuliza kama tuendelee au tuache kabisa kulima mashamba.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Uvira : Ni hatari sana kuvua samaki pasipo kuelewa vema kazi hiyo ?
Jua mpenzi, sisi wakaaji wa vijiji vya Kigoma, Makobola na Kahingwa tuna hofu sana. Hofu hiyo yatokana na upuuzi wa ndugu zetu toke nchini Burundi na katina vijiji vingine vya mitaa ya Fizi na Uvira ambao wafika wengi sana na kujitia katika kazi za uvuvi ingawa hawalewi vema.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Karama-Idjwi : Uuzaji wa kasikisi wahatarisha dini la kiprotestanti ?
Jua mpenzi, ikiwa ninakuandikia barua hii kwa mara kwanza, ukoma wangu mkubwa ni kukutolea mambo yasiyo halali yanayotendeka katika kanisa la kiprotestanti la Karama, tawi la "CEPAZa" pa Idjwi.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Kuna masikilizo ya wizi katika ya mwananchi Balolebwami na watoto wake ?
Jua mpenzi, sisi wakaaji wa mkoa wa Chimpunda tunasangaa sana. Msangao wetu huu watokana na matendo haramu ya mwananchi Balolebwami anayejiruhusu kuwatetea watoto wake mbele ya serikali kila mara wanaponaswa wakitendavitendo vyao vya wizi na vya urugaruga ...
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Eti yule Sadiki hajui kazi zake ?
Jua mpenzi, utupe nafasi katika ukurasa wetu wa Neno la wasomaji lil tupate kukufasiria mateso yetu sisi wanafunzi wa masomo ya sekondari ya Kama.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Pangi : Mwananchi Sadiki na Bwana Vintton warudisha ukoloni kama ?
Jua mpenzi, upendezwe kupokea na kutangaza machache nihayo kuhusu magumu ya wanakazi wa masomo ya sekondari ya Kama.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Kazimia-Fizi : Kiongozi wa chuo cha sekondari atuangamiza !
Jua mpenzi, nkujulisha kama mimi ni mkaaji wa hapa kazimia, mtaa wa Fizi, nipo mwalimu tangu miaka mitatu katika masomo ya msingi, katika nasangaa, nakiongozi ...
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Bukavu : Namna gani kufika mbingini ?
Jua mpenzi, pokea salamu zangu za amani na maendleo mema katika kazi zako. Ninapokuandikia barua hii shabaha yangu kubwa ni kupata mwanga wako kwa maulizo mengi yanayonisonga ili kuelewa mashurti ao jinsi bora ya kuishi maishani mwangu na kupokewa baada katika ufalme wa Mweny'Ezi Mungu, yuani Mbinguni.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Bukavu : Akina mama wachuuzi wa soko kuu wajiheshimu
Jua mpezi, sisi tunaochuuza katika soko kuu la Bukavu tumekwisha inq mambo mengi ya kushangaza.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Sake : Mchana ni magari yenye kuharibika, usiku ni magari mapya !
Jua mpenzi, Nilipokuwa matembezi huko Sake katika mtaa wa Masisi, nilijionea binafsi mambo ya kushangaza yanayotendwa na wakaaji wa mkoa huyo mdogo.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Bukavu : Wapishi wa masomo makuu ya kialimu "I.S.P." wamaliza chakula cha wanatunzi ?
Pokea saiamu zangu za mwaka pia 1981. Mwaka huu ukuletee heri na maendeleo ya kazi zako.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Mwananchi Muvira si Wavira ni mwongo ?
Jua mpenzi, kutuatana na barua iliyoandikwa na mwananchi Muvira si Wavira iliyotangazwa katika toleo letu lenye namba 99 lililopingwa chapa tangu tarehe 31 januari mpaka 6 februari mwaka 1981 ...
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Beni: Watenda moavu waliungunza vyumba vya kazi vya serikali na makao 18 ya wakaaji
JUA mpenzi,
Siku hizi, sisi wakaaji wa mtaa wa Beni tunaïshi katika wasi wai kubwa. lingwa wakuu wa mtaa wetu hufunya katzi za vizuri katika ukomo wa kuleta maendeleo katika mtaa wetu wa Beni, watenda maovu hao wasiojulikama vema wajiruhusu kuharibu kazi hizo wakileta hivi hofu katika nyoyo za wakaaji.
NENO LA WASOMAJI
publié par
JUA
il y a 2 ans
-
Kabare: Kwa nini asili ya ukoo wa Irhambi-Katana yazarauliwa?
JUA mpenzi,
Tumesoma kwa utaribu wetu habari zinazoelekea jimbo letu la Kivu ambazo ulizibangaza katika gazeti lako ulilopiga chapa mnamo terehe 8 mpaka 14 Novemba 1980, Katika habari hizo ultujulisha kwamba mwananchi CIZUNGU Bahirwe alitajwa na wakuu wa serikali jimboni kuwa kiongozi wa mkoa mdogo wa katana, katika mtaa wa Kabare
NENO LA WASOMAJI
publié par
JUA
il y a 2 ans
-
Basile-Mwenge: Yafaa kiongozi wa kijiji cha Muzingwa aheshimu wanawake wa wenzie!
JUA mpenzi,
Ninayo fureha kubwa ya kuzungunza nawe katika ukurasa wetu huu sisi wasomaji kwani matezamia kututolea maoni yangu kuhusu magumu mbalimbali tunayotendewe na kiongozi wa mkoa wa saile, mtaa wa Mwenga.
NENO LA WASOMAJI
publié par
JUA
il y a 2 ans
-
Bakisi-Shabunda: Wakaaji wa kijiji cha Bakiunga wanaomba Kufunguli wa kwa kiongozi wao Kenda-kenda
Gazeti "JUA" ni baraz a linalokusanya pa moja waandishi na wasonaji kwa kusimulia kindugu ili kila mmoja wao apate kutoa moani yake akitegemaa ukweli.
NENO LA WASOMAJI
publié par
JUA
il y a 2 ans
-
Cyangugu-Rwanda: Bwana Majyambere amefungua kiwandacha uuzaji na utengenezaji wa magari ya aina ya "DATSUN" na "NISSAN"
Siku ya sika (Jamamosi) tarehe 24 Januari 1981, wanachama cha Mapinduzi kihusikacho na maendeleo nchini Rwanda tako pepo nne za jimbo la Cyangungu, walikutana malfu katika mtaa wa Cymbogo ili kusherehekea kuzinduliwa kwa kiwenda kinachohusika na uuzaji, pia utengenezaji wa magari ya aina ya "Datsun" na "Nissan".
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Baada ya Kubaki mateka muda wa siku 444 nchini Iran
Walumishi 52 katika ubalozi wa Marekani mjini Théhéran wallachwa huru nakupokewa kwa shanwe kubwa na Raïs Ronald Reagan mjini Washington.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Mwananchi Djoho Teyeta yupo,katika uchunguzi wa kazi za Chama
Siku hizi, naibu wa Liwali wa Kivu ashusikaye na mwenendo wa siasa mwananchi Djiho Teyeta, apatikana Katika wilaya ya kivu ya Kaskazini ambako ashurulika kwa mara ya kwanza na uchunguzi katika vyumba vihusikavyo na kazi za Chama.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Baraza la Serikali: Walimu waombwa kurudia masomoni siku ya kwanza
Kiisha mkutano maalum wa mawaziri wa kawaida uliofanyika jana siku ya tano, terehe 30 januari 1981 chini ya uongozi wa mwananchi Nguz a Karl-I-Bond, waziri wa kwanza aliyerui Kinshasa siku ya pili kutoka Ulaya, hatua mabimbali zimechukuliwa kuhusu mambo ya masomo.
NENO LA WASOMAJI
publié par
JUA
il y a 2 ans
-
Ukimya na amasi vipo Fizi Baraka
Siku Fizi, kundi moja maalum la watanganzaji habari toka miji ya "Bruxelles" nchini Ubelgiji na "Paris" Kafika Jamhuri ya Ufaransa. Limefanya ziara ya kiserikali katika jimbo la Kivu hasa katika ya mtaa wa fizi, moja kati ya mitaa ya wifaya ya kivu ya Kusini.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans
-
Wa "pensionnés" wanasema: "Tunamsshukuru Liwali wa kivu kwa usikivu wake!"
Jua mpenzi,
Mbele ya vyote, uniruhusu minakushuru liwali wa kivu kwa usikivu wake bora! Shukurani zetu ziwafikie pia viongozi wa chumba cha serikali kihusikacho na maisha ya watumishi walikwisha achishwa kazi zao kufuatana na umri wao wa uzee.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Kadutu: Vyuma vilivyosimikwa katika mikoa ya Funu na Tshimpunda vina mafaa gani?
JUA mpenzi,
Nikiwa mmoja kati ya wasomaji wako, nitakuomba unipenami nafasi ndongo katika ukurasa wetu sisi wasomaji wako ili nipate kukutolea machache ninayo moyoni mwangu kwani nionavyo mimi ni jambo mmoja muhimu kabisa.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Kabare: Uchimbaji wa zahabu kimagendo waleta njaa kali katika mkoa wa kalonge
Jua mpanzi,
Mimi ni nmoja kati ya wapendelevu wako. Ikiwa nmekuandikia barua nii kwa mara ya kwanza, ukomo wangu kamili ni kukuomba uhikishe malalamiko yetu kwa wakuu wa pate kukomesha hali ya njaa kali inayozidi kuwa nibaya na kuangamiza wa maaji kali inayozidi kuwa mbaya na kuangamiza wanaaji napa kalonge.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Ihemba: Adui wa jirani yako ni wako pia!
Jua mpanzi,
Kila mara wakuu wa jimbo letu na nyinyi wakanganzaji wa habari huwa mnatuekeza kuwa : "Adui wa jirani yako ni wako pia na nji wa Bukavu peke yake si jimbo la Kivu". Kusema hivyo ni kutaka kutujenga moyo ili tuelewe kamba,, baoda ya adui kumshambulia jirani yako atakuingila pia nyumbani.
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Tutatoa mali ya kuoa mara ngapi?
Jua mpenzi,
Nikiwa nmoja kati ya wasomaji wako wa daimanakutakia mwaka mpya mwema. Ukombo Kamili wa barua hii ni kukwalika uwashauri wazee wetu wa naojirushusu kuvunji anyumba wa wabinti wao sababu ya pupa kali ya feza na ukosefu wa mafikiri
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Uvira: Mwananchi Teganyi Musirwa anatumbeza na magoti
Jua mpezi, upendezwe kupokea na kutangaza barua yangu hii kwani umetuomba kukuunga mkono katika kazi yako ngumu ya kutangaza habari na kuwaadibilisha wasomji wako...
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Kalima: Hakuna beyi nzuri katika soko
Jua mpezi, mimi ni mmoja kati ya wasomaji wako wa dalma. Ukiwa msnauri wetu mkuu, nitakuomba ukubali kuwashauri wasimamizi wa solo la hapa Kalima...
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Mwenga: Viongozi wa masomo la kanisa "CELZA" waangamiza walimu wao
Jua mpenzi, sisi walimu kunako masomo na kanisa la kiprotestanti, tawi la " CELZA", katika mtaa wa Mwenga, tunaangamizua sana na viongozi watatu wa masomo hayo...
NENO LA WASOMAJI
il y a 2 ans
-
Itombwe yabaki nyuma
Itombwe, ni moja ya mikoa, inayounda mtaa wa Mwenga jimboni mwa Kivu ya Kusini. Mkoa huo baada ya kukabilwa na vita vya wahuni yapata miaka ishirini na tano ivi, waendelea kubaki nyuma kimaendeleo na serkali vyaweza kuendesha eneo hilo.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Ngoyi Waso Pene Mulenda
il y a 2 ans
-
Masisi: kisha kifo cha mwami wetu kalinda mitetso wa bahunde
Jua mpenzi;
Mbele ya vyote, nitakuomba apokee kilio cha wakaaji wa kijiji cha kituva, mkoa wa Bahunde.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
"PASTEUR" Wakanga Meso "7 è CEGZ" amesimulia juu ya Misionari Vinton
Kufuatana na malala miko ya wakaaji wa kama kuhusu mwenendo wa bwanaVinton huko kama, tulilazimishwa kutafuta mwanga katika tawilake la 7è CEGZ mjino Bukavu.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Fizi: Askari hawatunyweshi maji huku kwetu
Jua mpenzi
Sisi wakaaji wa kijiji cha simbi katika mkoa wa mutambala tunateshwa sana.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Kalenga Mutumbele bin Balanga
il y a 3 ans
-
Maulizo na majibu
Namna gani kujiandikisha kwa kupata gazeti Jua kila mara
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Masisi: Angalisho ya wazazi wa wanafunzi wa masomo ya ùsingi pa sake
Jua mpenzi,
Kwa jina la wazazi wenzangu, ninajiruhusu kukuandikia barua hii kwa mara ya kwanza.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Bindu Kalibwa
il y a 3 ans
-
Kiliba: Soko la Katumba yaleta njaa kubwa
Jua mpenzi,
Ikiwa ninakuandikia barua hii, kisa changu kamili ni kukutolea magumu yetu kuhusu njaa kali inayotuangamiza siku hizi sisi wakaaji wa kiliba.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Jibu kwa barua: Bwana Vinton anarudisha ukoloni kama?
Jua mpenzi,
Kulingana na barua iliyokuwa na kichwa nilichotaja hapo juu, ambayo ilichapwa katika toleo lako lenye namba 89 tarehe 8 mpaka 14 novemba 1980
NENO LA WASOMAJI
publié par
Migo Tabende
il y a 3 ans
-
Beni: Wamalaya wanauzi na "LULOMBO"!
Jua mpenzi,
Ninapochukua kartasi hii kwa kukuandika leo, ukomo wangu ni kukuomba uwashauri wandumba wa hapa Beni wanaotuuzi na "Lulombo"
NENO LA WASOMAJI
publié par
Kakule Amisi
il y a 3 ans
-
Bukavu: Sababu gani bei ya biashara yabadilika kila siku?
Jua mpenzi,
Sisi wakaaji wa mtaa wa kadutu, pia wapendelevu wa pombe ya aina ya "Kasigisi", na vivi hivi
NENO LA WASOMAJI
publié par
Bimweka
il y a 3 ans
-
Kiliba: Namna gani kuandikia gazeti Jua?
Jua mpenzi,
Sisi wasomaji wako wa hapa kiliba tunayo bado magumu mamoja mamoja ambayo yanatuzia kukuandikia kila mara na kuzungumza nawe zaidi.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Bukavu: Noti za zamani zitabadiliswa lini?
Jua mpenzi,
kisa kamili kinachonisu kuma kukuandikia barua hii kwa mara ya kwanza ni kukuuliza ili nipate kuelewa vizuri mambo yanayoelekea kubadilishwa kwa mara ya tatu kwa noti za zamani za zaïre
NENO LA WASOMAJI
publié par
Kalinda wa Kalimba
il y a 3 ans
-
Shabunda: Bwana Vinton anarudisha ukoloni kama?
Jua mpenzi,
Kulingana na magumu ya kila aina tunayotendewa katika mkoa wetu mdogo wa kama, mtaa wa shabunda
NENO LA WASOMAJI
publié par
M. Kissy Mupenda
il y a 3 ans
-
Nyama yauzishwa sokoni bila kupimwa
Jua mpenzi,
Sisi wachuuzi wa nyama wa Nyangezi tunashangaa sana ya kuona kwamba ndugu mmoja hana tena haya ya kuonyesha ukosefu wa zamiri njema ya kazi.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Butembo: Tufanye angalisho kubwa wakati wa uchaguzi ujao
Jua mpenzi,
katika gazeti lako lenye namba 78 iliyochapwa mnano tarehe 23 mpaka 29 Agosti 1980.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Byailunga Kambale
il y a 3 ans
-
Kwa wasomaji wapenzi
Tunawakumbusheni kwamba ukurasa huu ni wenu!
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Mabarabara yatengenezwe!
Jua mpenzi;
Usishangae kupokea barua hii toka beni, ambako nipo safarini.
NENO LA WASOMAJI
publié par
M-Maba Atembo
il y a 3 ans
-
Kamituga: Tumekwisha tumika miaka miwili bila kupokea
Jua mpenzi,
Ukiwa nuru yetu ya kivu pokea malalamiko yetu sisi watumishi wa masomo ya msingi ya tawi la "CELZA" pa kamituga, mtaa wa Mwenga.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Kalehe: kiongozi wa "Mbinga-Nord" aache ubaguzi
Jua mpenzi,
Pokea malalamiko yetu sisi wakaaji wa kalehe jiji la Mbinga ya kaskazini.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Bahati Matembera
il y a 3 ans
-
Bukavu: Wakarusha - Vumbi muturegezee
Jua mpenzi,
Shabaha yangu ninapokuandikia barua hii kwamara ya kwanza, ni kukuomba uwapatie kina dada wamalaya mashauri.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Teti-Mwana-Mayi
il y a 3 ans
-
Fizi: Walimu ndio msingi wa ukosefu wa masomo ya juu kwa watoto wetu!
Jua mpenzi,
Sisi wakaaji wa Fizi tupo na sikiliko kubwa kutuatana na alama ndogo ambazo watoto wetu huwa wanapota katika mashindano
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
kwako bibi: Mishahara ya wanawake yaweza kuleta magumu?
Ikiwa mazungumzo yetu ya leo yaclekea mishahara ya wanawake, ni sababu ya fujo ya kila aina tunayotambua katika jamaa ambame bibi ni mfanyakazi
NENO LA WASOMAJI
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 3 ans
-
Uvira: Tusaidiane pia wakati wa magonjwa
Jua mpenzi,
Rafiki mpenzi Jua, tunapougua magonjwa ya hatari wakati hatuna feza, mara nyingi tunakosa ndugu ao rafiki atakayeweza kututolea msaada fulani.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Kiliba: kiongozi wetu anaruhusu pombe ya kanyanga
Jua mpenzi,
Mnamo siku zilizopita chumba cha ciasa nchini mwetu kilichukua na kutangaza kiserikali hatuamaaluni ya kukataza kupiga
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Butembo: Eti huku padri anaruhusu kituliro!
Jua mpenzi,
Ukomo wa barua hii ni kutoa kwenye mwanga wako jambo la fezea kubwa ambalo mapadri huanza kututendea huku kwetu..
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Kabare: Kasigisi yazeza kukosekana?
Jua mpenzi,
Sisi wakaaji wa mtaa wa kabare kwa ujumia, na haza kabisa wa mikoa midogo ya Cirunga, Kagabi, Bushwira na Bugobe kwa upekee tunashangaa sana.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Rutshuru: Sababu gani "Sauti ya Zaïre-Bukavu" haisikike?
Jua mpenzi,
Sisi wakaaji wa Rusthuru tunaonekana wenye kuwa bado nyuma ya wengine sababu ya kutofuata vizuri mwendo na mashua ya Mapinduzi na ginzi mambo mengine ya kisasa yapo yakifanyika ulimwenguni.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
bukavu: wazamu wa mashirika huuzisha mafuta ya gari
Kama ilivyo desturi, yangu, ninakuandikia barua hii kwa kukujulisha halimbaya inayotukosesha chakula hapa mjini Bukavu.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Rutshuru: Mwananchi Banyenzaki kamara II anatunywesha maji na uma
Jua mpenzi,
Ukiwa mwanga wetu jimboni mwa Kivu, ninajiruhusu na magumu yetu sisi wakaaji wa Rusthuru, katika wilaya ya Kivu ya Kaskazini.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Uvira: Watumishi wa shamba la kahawa la I.P.A.K. -Maliba wanataka nini?
Jua mpenzi,
Pokea malalamiko yetu sisi watumishi wa shamba la kahawa la I.P.A.K-Maliba lipatikanalo pa Lubarika.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Kutafuta ndugu
Mwananchi Muganza Bya Dunia anamtafuta ndugu yake anayejulikana kwa jina la ByaMungu-Mwene Bigabwa.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Luvungi: Luwapinge wevi namna gani?
Jua mpenzi,
Mkoa wetu wa Luvungi unaangamizwa sana na wevi sababu ya ukosefu wa zamiri ngema ya kazi ya wakuu wa mtaa wetu wa Uvira.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
"Petro-Zaïre" yatukataza kutengeneza magari yetu
Jua mpenzi,
Ikiwa ninakuandikia barua hii, kisa changu kikubwa ni kukuelezea magumu yetu sisi madereva na wenyeji wa magari.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Bukavu: Kwa nini kupokea mishara pasipo kutumika
Jua mpenzi,
Ikiwa ninakuandikia barua hii, kisa changu ni kutoa nje mambo yanayosonga bado kazi za serikali ambazo zahusu ulinzi bora wa magari
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Mwenga: Mwananchi Bitinapaga anaunguza Luindi
Jua mpenzi,
Kumbe kuishi mbali na kinshasa ao mbali na mji mkuu wa jimbo ni kubaki katika haii ya kuonewa vikali na binadamu wenzetu katika jamuri yetu?
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Kabare: Mwananchi Bisimwa anawasha moto kule Bushumba
Jua mpenzi,
Mbele ya kutoa kwenye mwanga wako hali ya kitisho (situation explosive) iliyoletwa huku kwetu na mwananchi Bisimwa Naluziba,
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Kiliba: Namna gani kupata gazeti jua kila mara?
Kisa changu ninapokuandikia barua hii, ni kukuuliza namna ya kujiandikisha kwenye chumba chako cha kazi kwa kuweza kupata gazeti Jua
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Uvira: Angalisho ya wavuvi kwa wakaaji
Jua mpenzi,
Utusikilize. Sisi wasomaji wako tulioanza kazi za uvuvi wa samaki katika ziwa tanganyika tangu nyakati za ukoloni,
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
fizi: mwananchi lupande anawakosa walimu?
jua mpenzi,
Sisi wakaaji wa fizi tunahuzunika sana na matendo mabaya ya kio,gozi wa masomo ya sekondari ya bandari, mwananchi Lupande Ndume E.
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Mwananchi Biringanine anaangamiza wakaaji wa kamisimbi
Jua mpenzi,
Sisi wakaaji wa kamisimbi tunaangamizwa sana na kiongozi wa mkoa wetu mdogo wa kamisimbi,
NENO LA WASOMAJI
il y a 3 ans
-
Kombe la Afrika: kesho mjini Accra
Kisha kuangusha jeshi la shooting star kutoka Nigeria katika siku zilizopita mjini Lubumbashi, jeshi TP Mazembe
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
Shirika "I.N.S.S." Linajibu kwa barua
Jua Mpezi,
Uliweza kutangaza katika gazeti JUA Lenye namba 79 katika ukurasa wa 6, Barua ya mwananchi kakuru-ka-kakuru.
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
uvira: kiliba yaangamizwa na mwananchi Amisi
Jua mpezi,
Hii ni mara ya pili tunakuandikia barua kama hii kwa kukutolea malalamiko yetu juu ya matendo mabaya ya mkuu wa Posta wa hapa kwetu kiliba.
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
kwako bibi: Kinga wabinti wako kwa "Rubéole"
Tangu zamani, ugonjwa wa "rubéole" haukukuwa na dawa yoyote kwa kuweza kujipanya.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MUNYOLOLO KIPENE
il y a 4 ans
-
Bukavu: Posta yatucheza akili
Jua mpenzi,
Ukomo wangu wa kukuandika barua hii ni kupata mwanga juu ya vitendo vya fezea vinavyofanya siku hizi na ndugu zetu wanaotumika katika "Posta"
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
Walikale: Wapolisi wa "Parcs" wanayo kazi gani?
Jua mpenzi,
usiwe na mshangao wa kuona natumia ulizo lile hapa juu kama vile kichwa (titre) cha barua yangu hii fupi.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Binamwisho
il y a 4 ans
-
Mwenga: Kitutu yajionea cha mutema kuni
Jua mpenzi,
Unipe nafasi iliyo yangu katika ukurasa wetu huu ilinipate, kwa jina la wasomaji wenzangu wa kitutu.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Wasanga Milomo
il y a 4 ans
-
Butembo: Sababu gani sauti ya Zaïre Bukavu na Kinshasa hazisikilike huku kwetu?
Jua mpenzi,
Kama kwa desturi, ninakuandikia mana nyingi barua kwa kukujulisha habari za jiji (cité) letu la Butembo.
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
"I.N.S.S." yawasahau wa "Pensionnés"
Jua mpenzi,
Pokea malalamiko yetu sisi wazee ambao tuliweza kasi sababu ya umri mkubwa.
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
Mishahara ya watumishi wa "Plantation Mwana Nteba ya Nyabiondo imeenda wapi?
Jua mpenzi,
Mimi ni mmoja kati ya wapendelevu wako. ukiwa mwangaza wa jimbo nzima la kivu, nakutolea magumu yetu sisi tunaotumika katika mashamba ya chai ya mwananchi Mwananteba katika
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
Kadutu: Kwa nini watoto hucheza barabarani
Jua mpenzi;
Ningelitamani kutolea wengine wasomaji wako juu ya jambo lenye kufanyika siku hizi hapa petu Bukavu, hasa katika mtaa wa kadutu.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Bilenge Juma
il y a 4 ans
-
Beni: Askari walinda amani mikoani na katika mabarabara munaleta haya!
Jua mpenzi,
kwa jina la wakaaji na wasafiri wa beni, ninakuandjika Barua hii.
NENO LA WASOMAJI
publié par
DOGO PAKAA TSHENGE
il y a 4 ans
-
Butembo: kwa njia ya uchaguzi utakaokuja
Jua mpenzi,
kama lilivyo desturi, ninachukua mara ingine katamu yangu kwa kukujuli sana habari zetu sisi wakaaji wa butembo.
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
Tangazo la ndoa
Mwananchi kanyang. hambi wa n'yanza-mubimbi
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
Fizi: Eti kiongozi wa masomo ya msingi ya Lwata hajui kazi kake?
Jua mpenzi,
Ikiwa ninakuandikia kwa mara ya kwanza barua hii, ukomo wangu ni kukujulisha malalamiko yetu sisi wakaaji wakazimia katika mtaa wa Fizi.
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans
-
Jibu la Mganga Kapagama kwa barua
Jua mpenzi,
Nilishanga sana kusoma katika gazeti lenye namba 72 ya tarehe 19 mwezi wa Julay, barua ya mwananchi MUSOLE BANDEKE,
NENO LA WASOMAJI
publié par
Dr. Kapagama Mukobya
il y a 4 ans
-
Eti chakula cha wafungwa kinauzishwa sokoni?
Jua mpenzi,
Mimi ni mmoja wa wasomaji wako wa daima.
NENO LA WASOMAJI
publié par
BAFUNYEMPAKA A.
il y a 4 ans
-
UVIRA: Mwananchi Namihaba Majagira anajibu kwa barua: Walimu wa masomo ya azuhuri mjiheshimu
Jua mpenzi,
Wakati niliposoma gazeti jako ulilopiga chapa kwa tahere 26 julay mpaka 1 A.
NENO LA WASOMAJI
publié par
NAMIHABA MAJAGIRA
il y a 4 ans
-
BUKAVU: Bei ya kasigisi ipunguzwe
Jua mpenzi,
NNinachukua kalamu yangu kwa ajili ya kukuandikia ilinipate kukueleza mambo yanayotushangaza sisi wany-waji wa pombe ya kasigisi.
NENO LA WASOMAJI
il y a 4 ans