• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Mwananchi Bashige alisimamia seminari ya "Aneza-Kabare"
    Mnamo siku zilizopita, shirika la muungano wa wachuuzi na wafanyabiashara wadogo na wakuu nchini katika mtaa wa Kabare, "Aneza-Kabare" ilisimamia seminari moja maalum kabisi iliyodumu muda wa siku mbili katika makao wa mtaa huo chini ya uchunguzi wa prezidenti wa kamati hiyo, mwananchi Bashige Buyungu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Mwananchi Sowa asimika mabomba za maji katika Bonde la Ruzizi
    Tangu mwaka 1978, mtaalam ao enjinia katika kazi za kuchimba mifereji, visiwa na kusilika bomba za maji safi ya kunyiwa katika sehemu ya Kaskazini - Mashariki nchini Zaïre,mwananchi Sowa ameshurulika na kazi hizo muhimu katika vijini vya Rubare ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Yafaa maderewa waheshimu wasafiri wao !
    Mapendo, adabu na heshima, ni mambo ya lazima kabisa katika maisha ya binadamu. Ni hivi, kila dini, wazazi wetu na masomoni twafundishwa na kuombwa kila mara tuwe na mapendo ya kweli kati yetu, yulindiane adabu na kuheshimiana.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Ryad-Arabia : Uhusiano kati ya Arabia na Afghanistan umevunjwa
    Habari kutoka redio Rwanda zajulisha kuwe uhusiano kati ya Arabia na Afghanistan umevunjwa kutokana na serikali ya nchi hiyo kuhusiana na Urusi wakitengemea hivi vikosi, silaha za vita vipatikanavyo nchini ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Freetown/ Sierra-Leone : Mkutano wa Umoja wa Mataifa
    Huko Freetown, mkutano wa Umoja wa mataifa ulikutana kuhusu uchumi kati ya mataifa huru ya Afrika. Katika mpango huo, katika mkuu wa muungano wa kiuchumi wa nchi huru za Afrika zijiunge pamoja ....
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Washington-Amerika : Yafaa Namibia iwe huru kabisa
    Ujumbe moja maalum toka Marekani unaongozwa na bwana Peter utawasili katika nchi mbalimbali za Afrika. Habari zinazoaminika zahakitisha kuwa rais mpya wa shirikisho la Amerika bwana Reagan ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kampala-Uganda : Angalisho imepewa kwa maharamia
    Waziri ahusikae na usalama na amani nchini Uganda, alipana angalisho kwa mkaaji yeyote anayepinga serikali pya inayoongoza na Rais Milton Obote.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Bamuguba-Kigulube : Ubaguzi wa dini waharibu pia maendeleo na masikilizano kati ya makaaji !
    Zaidi ya matatizo na magumu mbali mbali, kuna ubaguzi wa dini unaoharibu maendeleo ujenzi na masikilizano kati ya wakaaji wa mkoa mdogow a Bamuguba, mkoa wa Kigulube, mtaa wa Shabunda.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Kadutu : Wevi kumi na moja walikwisha naswa
    Tangu mwenyekiti wa mtaa wa Kadutu, mwananchi Mulyanga Mugobe kuchukua hatua muhimu ya kukomesha uhuni, wevi kumi na moja walikwisha anguka katika nyavu za askari walinzi wa usawa mikoani mtaani humo.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 2 ans
  • Banda : Mwananchi Otshudi katika mikoa mbalimbali ua mji wa Bukavu
    Mwananchi Otshudi Yolama, katibu wa Chama ahusikae na uhimizaji pia maadibisho ya siasa jimboni alitembelea siku hizi mikoa mbalimbali ya mji wa Bukavu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Bukavu : Vyombo vipya vya Sauti ya Zaïre vimefika
    Baada ya kubaki mjini Kinshasa na kurejea nyumbani pa Bukavu, kiongozi kwa muda wa chumba cha kazi za serikali kihusikacho na upeperushaji wa habari kwa njia ya redio, mwananchi Katshunga Shabani alijulisha kuwa, vyombo vipya vya Sauti ya Zaïre mjini Bukavu vimefika.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • "Cimenterie de Katana" itaanza tena kazi zake
    Habari zenye kuaminika zaeleza kuwa, mnamo siku zijazo, shirika lihusikalo na utengenezaji wa simenti (seruji) katika mkoa mdogo wa Katana (Cimenterie de Katana) litaanza tena kazi zake za kutengeneza kifaa hicho.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Kivu ya Kaskazini : Mwananchi Likita afasiria hali kamili ya wilaya yake
    Mnamo siku zilizopita, kiongozi wa wilaya ya Kivu ya Kaskazini, mwananchi Likita alimpokea katika masimulizi waandishi wa habari wa Bukavu. Masimulizi hayo yalielekea hasa hali kamili ya kazi katika wilaya anayoongoza.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 2 ans
  • Uganda : Mauti kumi na nne zimeokotwa porini
    Juma hii, mauti ya watu kumi na wanne, wakitambulikana kati yao watoto wawili wenye umri wa kufwata masomo zimeokotwa katika pori moja nchini Uganda.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Afrika ya kusini : Askari wa kukodiwa toka Ulaya Magharibi ni wengi
    Siku hizi, radio mbali mbali ulimwenguni kote zahakikisha kwamba askari wengi wa kukodiwa toka Ulaya ya Magharibi na shirikisho la Amerika ni wengi katika Jamhuri isiyokuwa halali ya Afrika ya Kusini.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Harare : Mahusiano yadumisha kati ya Amerika na Zimbabwe
    Habari zinazominika zajulisha kuwa, ujumbe moja maalum toka Marekani ulioongozwa na bwana Peter uliwasili kiserikali pa Harare, mji mkuu wa Zimbabwe.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Habari za kiaskari : Jemadari Singa alichukuwa hatua muhimu
    Baada ya kutambua kama wamoja kati ya askari jeshi wetu walianza kuzaramu na kusahau kabisa mapashwa, mwendendo na kanuni z kazi yao, mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa ambaye ni mmoja ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Wamza-Kabambare : Kalanga yakosa wanunuzi
    Wamaza ni moja kati ya mikoa mnamo limwa ama mbali ya chakula katina mtaa wa Kabambare, wilaya ya Maniema.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Bukavu : Angalisho kwa wakaaji
    Ugonjwa mkali wa huhara unaombukia na kuwaangamiza vikali siku hizi wakaaji wa Kivu ya Kaskazini; ungonjwa ambao ulitokea katika kijiji ona Kisenyi ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Tunizia : Mawaziri wa nchi za kiislamu walikutana
    Mkutano wa mawaziri wa nchi za kiislamu wahusikao na mambo ya kigani ulifanyika nchini Tunizia. Katika mkutano huo, Moritania ilishtaki Moroko kuwa iliwasaidia maharamia kutaka kuipindua serikali mpya.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kampala-Uganda : Waganda wafukuzwa nchini Kenya
    Gazeti "Uganda Times" lashtaki nchi ya Kenya kwa hatua kati iliyochukuliwa na serikali na kuwafukuza raia wa Uganda nchini humo bila sababu yoyote.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kigali : Nchi za Rwanda, Burundi na Tanzania zilikutana
    Habari kutoka Rwanda zajulisha kuwa mkutano moja maalum uifanyika jumaa hii kati kati ya nchi za Rwanda, Burundi na Tanzania kuhusu uchumi wa mali kati ya nchi zipatikanazo kandokado ya bonde la mto wa Kagera ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Mwenga : Mwananchi Bitinapaga anakusudia kutengeneza upya mabarabara ya mikoa
    Siku hizi, mwenyekiti wa mtaa wa Mwenga mwananchi Bitiapaga ni mwenye kukusudia kabisa kutengeza upya mabarabra ya mikao mtaani mwake hasa kabisa yale ya Burhinyi, Wamuzimu na Itombwe.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Bukavu : Siku arbaini za mwizi mkuu "Ours" zimetimia !
    Wangwana wamesema kuwa : "siku za mwizi ni arbaini t !" Siku hizo arbaini (kamumi nne) zinapaona, sherti kabisa ujanja na upuuzi wa mwuizi huo ukomeswa.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Mwanasiasa na katibu mkuu katika bunge Birere : "Yafaa wanachama wote wamsaidie Rais Mobutu Kumaliza magumu nchini"
    Siku hizi, mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa nchini aliye pia katibu mkuu katika baraza ja wabunge, mwananchi Birere Mabano aliyekuwa katika mapumziko mjini Bikavu ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Nouakchott : Moritania yavunja mahusiano ya kibalozi na Moro o.
    Habari zenye kuaminika toka chumba cha weziri ahusikae na mambo ya nje pia mahsiano bora mjini Nouakchott (Moritania) zahakikisha kuwa, baada ya kugundua mazumuni ya kutaka Rais Aidallah nchini Moritania ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • RAis Obote awaalika wafuasi wa Idi Amin kurejea nyumbani
    Lakini, tarehe kamili na ya mwisho ya kurudi kwa wafuasi hao wa zamani wa Idi Amin Dada hazijakamilishwa bado. Ila, ilijulishwa kama wale wananchi ambao hawawezi kurejea mbele tarehe kakayokamilishwa, hawaweza tena kukubadiliwa na kupokewa nchini Uganda.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Mwami Lenge wa tatu :"Tuungane kwa ujio bora wa watoto wetu !"
    Siku ya kwanza tarehe mbili Marsi 1981, Mwami Lenge wa tatu Rugaza Kabale wa mkoa wa Bavira alisimamia mkutano moja maalum pa Kabindula, makoa makuu ya usultani na wa mkoa wake na kuwashauri wasaidizi wake waungane pamoja kwa maendeleo na ujio bora wa watoto wao.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Mnamo miaka kumi ijoya Kivu ya Kaskazini itakuwa na wanyama wa ufugo milioni moja
    Jamhuri yetu ya Zaïre, ni yenye kuwa na utajiri mwingi na wa umbalimbali unaopashwa kuepusha Taifa letu magumu yote yanayoiangamiza nyakati hizi.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Mutiri-wa-Bashara il y a 2 ans
  • Rwanda : Raia na wanajeshi walipewa Nishani
    Habari kutoka Rwanda zatujulisha kuwa siku ya pili tarehe 10 februari 1981, Jemadari Habyarimana, rais wa Rwanda, alipana medali kwa wanajeshi mia salasini na sita (136) na waraia sitini na saba (67).
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Tunisia : Uhusiano kati ya Tunizia na Zaïre wadumushwa
    Habari kutoka redio Rwanda zajulisha kuwa uhusiano kati ya Jamhuri za Tunisia na Zaïre wadumishwa. Ni hivi nchi ya Tunisia yashidia kujenga chuo cha majifunzo yay uongozi wa kazi za serikali mjini Kinshasa (administration et fonction publique).
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Pakistani : Gari la mabawa lilitekwa nyara
    Siku zilizopita, gari labawa lashirika la Pakistani lilitekwa nyara na waharamia watatu wa jamaa moja na kujielekeza Damad mji kuu wa chi ya syria.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kenya : Rais Arap Moï aendelea na ziara za kiserikali katika nchi mbalimbali
    Kisha kuzitembelea nchi mbalimbali za Bora la Asia, Rais Arap Moï wa Kenya aenza kuzitembelea sasa nchi za Bora la Afrikaakianza na Nigeria atakamobaki muda wa siku nne.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Amerika : Utawala wa Rais Reagan wa punguza misaada ya kiserikali
    Wamerekani wakusudia kuipunguza misaada ya kiserikali duniani. Ila yaminika kuwa misaada itatolewa kwa nchi za Kenya.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Ujapani : Papa Yoane Paulo wa pili aliwataja mawhahidi 16 kuwa wenyiheri
    Kwa mara ya kwanza katika istoria ya kanisa katolika, Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane Paulo wa pili aliwataja mashahidi 16 kuwa wenyiheri (bien heureux) nja wa mji wa Roma.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Habari za popote : Bukavu
    Kiongozi wa ofisi yenyi kuhusika na uchunguzi wa usafirishaji wa bizaa mipakani (Ofida), aliwasili mjini Bukavu ambako aliongoza kazi za seminari juu ya elimu na maelezo kazaa kwa wafanyakazi wa ofisi hiyo.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kinshasa : Mipango mipya kwa kutangaza enjili
    Tangu tarehe 7 hadi 14 aprili iliyopita, wachungaji (pasteurs) wa makanisa mbali mbali ya kiprotestanti walikusanyika kwenyi "Lycée Dr. Shaumba"...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Lubunga K'Yoba il y a 2 ans
  • ITALIA
    Bwana Ali Agça aliyetaka kumuua Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane-Paolo wa pili alieleza mbele ya waamzi ya kuwa silaha aliyotumia kwa kumpiga Baba Mtakatifu risasi na hivi kumuondowa dunia...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Kamati kuu ya itafungua mkutano wake wa 10 mnamo tarehe 30 Septemba 1985
    Kulingana na habari zlilizotolewa na katiba imara ya kamati kuu ya Chama, kamati hiyo itafungua mkuyano wake wa kumi wa kawaida mnamo siku ya kwanza tarejhe 30 septemba 1985.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Amitabh Bachchan "Deewar" ageuka mwana-siasa
    Kufuatana na habari zilizotolewa na mwandishi wetu Lubunga Bya 'Ombe toka Kinshasa, yasemekana kuwa Amitabh Bachchan, bingwa katika michezo ya sinema ajulikananae kwa jina la "Deewar" alichaguliwa hapo majuzi kama mteule (député) wa jimbo la UTTAR-PRADESH nchini India baada...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans
  • Wakati gani kupewa posho?
    Ikiwa tunazungumza katika maandishi yetu na kujiuiza wakati gani ambao kina mama aweza kupewa kwa kulisha familia yake, ni sababu ya malambiko mengi ya nayotufikia toka pepo nne za jimbo letu kuhusu fujo inayotukia wakati mabwana mapokea mishahara yao.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 2 ans
  • Kivu ya kushini: Waunguzi wa asili waendelea vema na kazi zao
    Mnamo siku zilizapita kiongozi kwa muda wa kamati ya waunguzi wa asili (wafumu) katika wilaya ya Kivu ya kusini, muananchi Kakozi Kithesi alisimamia mkutano moja maalum wa mwisho wa mwaka ambano alijifunza pamoja na mwezie...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans
  • Kamati ya vijana watumishi imesiimikwa katika shirika B. ISRAEL
    Siku ya sita tarehe 20 Decemba 1980, kamati ya vijana watumishi katika chama cha Mapinduzi katika shirika "B. Israël et Fils" imesimikwa na kuonywa kiserikali kunako hoteli Metropole mbele ya mwenyekiti wa mji ya Bukavu, muananchi Lokomba Kumuadeboni.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 2 ans
  • Bukavu: Shirika ya "S.N.C.Z ." laonya mfano bora !
    Tangu wakati ambao viongozi wa shirika la kiserikali lihusikalo na uchukuzi pia usafirishaji wa biashara, mizigo na binadamu mwa jia ya treni na meli, yaani "société nationale des chemins de fer du Zaïre" walitambwa kwamba maisha yana...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 2 ans
  • Bukavu: Kikundi cha uhimizaji jimboni kilionywa kwa wakaaji
    Siku ya pili tarehe tisa Desemba 1980, naibu wa liwali wa kivu ahusikaye na mwenendo bora wa chama cha Mapinduzi jimboni, mwananchi djoho tayeta
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Kwako Bidi: tutunze vema vidonda vya kutokana na moto
    Mara nyingi, watoto wetu huungua kwa maji ya moto, mafuta yanayochemshwa kwa kukaanga chakula, chai ao maziwa, mvuke wa sufuria jikoni na kazalika.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kindu: Mwananchi Mbalanga aliwaomba wenyeji wa mahoteli waheshimu wapangaji
    Siku hizi, mwenyekiti wa whaya ya Maniema mwananchi Mbalanga alisimama mkutano maalum wa kikazi ambano anzungunza kimapinduzi na we.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Enyi ndugu tuliowachagua, mnasahau kazi zenu asbabu ya uchuuzi?
    wakati uchaguzi uliendeshwa popote nchini mwaka 1977, ndugu zetu waliongombea nafasi katika chumba cha siasa
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Bukavu: Yafaa viongozi wa mikoa washurulike zaidi na miporomoko ya udongo
    Zaidi ya juhudi zinazofanywa daima na kamati ihusikayo na ukingo pia maendeleo na ujenzi wamji wa Bukavu
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Guinea-Bisau: Raïs wa zamani Luis Cabral alipinduliwa na waziri wake Arestides Perreira
    Siku ya tano tarehe 14 nchini humo katika ukomo Novemba 1980, Rais wa wa kumuunga mkono Raïs zamani nchini Guinea-Bisau Mpya, Bwana Arestides Perreira
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Afrika ya Kusini: Wazungu huzidi kuwaua weusi
    Habari zenye kuaminika wa serikali haramu ya Afrika ambazo zilitangazwa na radio ya kusini wazidi kukanusha mbali mbali ulimwenguni zaha
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Malkia Modjaji alifariki akiwa na umri wa miaka 75
    Habari zenye kuaminika, na ambazo zilitangazwa siku hizi na radio mbali mbali ulimwenguni zahakikisha kuwa
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Zaïre na Amerika zahusika na "P.A.M."
    Siku hizi, wakuu wa serikali ya Zaïre na wale wa Amerika wametia sahihi zao juu ya patano moja
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans
  • Magendo: ugonjwa unawaambukia wakubwa na wadogo
    Kama tunavyoelewa sisi, sote, ulimwengu wapatwa na magumu mengi.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • "UNTZA" yahusika na maisha ya wanawake wanaotumika
    Hi ni sehemu ya mwisho ya habari zilizotangazwa juu ya matembezi ya kina bibi Mwadi wa UNTZA Jimboni.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Fizi: Mwananchi Ngiloaliwahimiza wakaaji washurulike na kilimo
    Siku hizi, mwenye kiti wa wilaya ya kivu ya kusini, mwananchi Ngilo, alifanya safari ya uchunguzi katika mtaa wa Fizi.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Safari ya mwananchi Makolo kindu na Goma
    Liwali wa kivu, mwananchi Mwando Nsimba, aliwakilishwa kindu na naibu wake ahusikaye na uchunguzi wa kazi za serikali
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • sange-Luberizi: Mwananchi ilondo Efambe alichungua kituo cha mlimo na ufugo cha "J.M.P.R."
    Baada ya kufika mjini bukavu na kuonywa chumba chake cha kazi, naibu wa kiongozi wa vijana katika chama cha Mapinduzi jimboji ambaye ahusika na uongozi wa tawi la kilimo
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Angalisho: Maji machafu ni msingi wa magonjwa mengi
    Ukosefu wa maji safi ya kunywa na pia uendeshaji vibaya wa kazi za kuwatibu wakaaji (absence de systèmes sanitaires)
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • ANEZA/ Kabare yahusika kabisa na Plan Mobutu
    Siku hizi, mwenzi wetu ndugu tisa mayele kamondo wa sauti ya Zaïre mjini Bukavu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • mwananchi Chizungu Bahirwe alitajwa kuwa kiongozi wa katana
    Siku ya tano tarehe 31 Oktoba 1980, naibu wa mwenyekiti wa mtaa wa kabare, mwananchi Madua, alijielekeza pa Irhambi, mkoa mdogo wa katana,
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • CECA ni katika kilio
    Mnamo siku ya Mungu tarehe 10/8/80 ndugu mpendwa katika kristo, Matenda >asso ameaga dunia
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 4 ans
  • Zimbabwe yawatukuza mashahidi wake Tongorare: Moyo na Merbert
    Siku ya pili tarehe 12 Agosti mwaka huu uvumbi uliruka angani mjini harare (jina jipya la mji mkuu wa zimbabwe) wakati raia walifanya sherehe za kuwatukuza hayati jemadari josiah Tongonare na wenzie wazalendo
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 4 ans
  • Bei ya nyama inapandishwa na walinda amani katika soko kuu
    Leo ninapokuandikia banua hii, kisa ni kukueleza mambo niliyoyaona wakati nilipokuwa matembezini katika mji wa Bukavu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 4 ans
  • Mwananchi Kasali: "AMANI imekwisha rudi Kivu ya Kusini"
    Akiwa njiani kwenda Isiro ambako alitumwa na serikali, mwananchi kasali kalumbwa bin rutuku aliwapokea kwa masimulizi wapashaji habari wa bukavu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Kaboyi Habimana il y a 4 ans
  • Bukavu: Kwa nini wachunguzi wa bei hawasaidie serikali kuleta usawa magukani na sokoni
    Kila mmoja wetu ajidai kuwa mwananchi wa kweli.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 4 ans
  • KINSHASA: Mwananchi konde alihotubia wakuu wa magazeti
    Baada ya kazi za mkutano wao mkuu (congrès) wa wapashaji kutoka majimbo waliokutana na wenzao wa kinshasa, viongozi wa mwananchi ko.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 4 ans
  • ZIMBABWE: Mugabe amewaambia Wazungu: "serikali haitawanyanganya mashamba yenu"
    Baada ya kufanya malembezi yake ya kiserkali katika wilaya ya gomonzi, wilaya yenye
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 4 ans
  • KWAKO BIBI: Ni nani hazae kati ya bwana na bibi?
    Wakati uzazi wakosekana katika familia fulani, watu wengi huzazi kuwa ni nini tu ndiye asiye na uwezo wa kuza.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 4 ans