-
L'ambassadeur des U.S.A. au Zaïre est parmi nous
L'Ambassadeur des Etats-Unis d'Amérique au Zaïre, M. Oakley, qu'accompagne son épouse, ses deux enfants et deux attachés militaires ainsi que les épouses de ces derniers est arrivé ce vendredi à Bukavu
Actualités
il y a 4 ans
-
Bukavu: Wananchi Salumu na makolo washusika na mabodilishano ya biashara kati ya shaba na kivu
Kisha kubaki muda wa siku nne kisangani, mji mkuu, jimbo ya Zaïre , ya juu, naibu wa liwali wa Kivu ahusikae na kazi za serikali, mwananchi Makolo Jibikilay, alimpokea mjini Bukavu mwenzie wa jimbo jirani la Shaba, mwanachi Salumu Amisi. Huyu alifika siku ya kwanza tarehe 21 januari 1981 akitokea Lubumbashi.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 2 ans