ARTICLE(S) RECHERCHE(S)
-
Kombe taifa kisha kuangusha hearts of Oak: Bilima ya kinshasa itatoana jasho na Union ya Douala
Siku ya Mungu, tarehe 28 septemba iliyopita, Bilima ya Kinshasa ilijipata ushindi wakati ilipoiangusha Hearts of Oak ya Accra kwa bao moja kwa bila.
Swahili publié par Kaboyi Habimana il y a 4 ans -
kesho mjini Ouagadougou: Mazembe ya Lubumbashi itapambana na Kadiogo Bilima yajitayarisha kukutana na Union of Douala
Jeshi linalijulikana kwa jina la Mazembe mjini Lubumbashi lasonga mbele katika michezo ya kugombea kombe la mabingwa wa Afrika
Swahili publié par Kaboyi Habimana il y a 3 ans -
Kinshasa: Bilima itakutana tena na union sportive kesho
Jeshi la "A.S. BILIMA" la kinshasa ambalo lasimamia taifa letu katika mapambano ya kugombea kombe la mabingwa (Coupe d'Afrique des club Champions)
Swahili il y a 3 ans -
Bilima na Canon wameanguka mabwa: 2-2
Bilima ya kinshasa na canon sportif ya yaoundé wameanguka mabwa kwa magoli mawili pande zote kisha mapambano yao ya kwanza ya mashindano
Swahili publié par Malekera Bahati il y a 3 ans -
Kombe la afrika: Bilima imeona nyota mbele ya canon: 3-0
Kweli Canon Sportif ya Yaoundé ni jeshi bingwa wa michezo wa kandanda katika bara la Afrika.
Swahili publié par Malekera Bahati il y a 3 ans