ARTICLE(S) RECHERCHE(S)
-
Rutshuru: Sababu gani "Sauti ya Zaïre-Bukavu" haisikike?
Jua mpenzi, Sisi wakaaji wa Rusthuru tunaonekana wenye kuwa bado nyuma ya wengine sababu ya kutofuata vizuri mwendo na mashua ya Mapinduzi na ginzi mambo mengine ya kisasa yapo yakifanyika ulimwenguni.
NENO LA WASOMAJI il y a 4 ans