ARTICLE(S) RECHERCHE(S)
-
walungu: Liwali wa kivu alihimiza wakaaji kuzidisha mlimo wa vyakula
Katika mkutano wa kazi aliosimamia binafsi pa Walungu, Liwali Mwando Nsimba aliwaomba wasaidizi wake popote walipo katika mtaa huo wawahimize wakaaji kushurulika zaidi na mlimo wa mashamba ambamo watapata chakula kingi kwa kujenga vizuri mwili wao.
Swahili il y a 3 ans