ARTICLE(S) RECHERCHE(S)
-
Mganga mmoja wa uwongo amevumbuliwa katika majeshi ya aokarl halali
Katika toleo lake moja, SALONGO(gazeti linalopigwa chapa kila siku mjini kinshasa), lilitangaza kwamba wakuu wa majeshi wamepata kumvumbua mganga mmoja wa uwongo aliyekuwa akiongoza kazi za matibabu kwa askari
Swahili publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans