-
Jeshi la zaïre litakutana na lile la kisiwa cha Bugi
Kwa kusema kweli, mwaka huu ni wa ufufuko wa mchezo wa kabumbu ya miguu wa taifa letu katika bara la afrika.
Swahili
il y a 3 ans
-
Itombwe yabaki nyuma
Itombwe, ni moja ya mikoa, inayounda mtaa wa Mwenga jimboni mwa Kivu ya Kusini. Mkoa huo baada ya kukabilwa na vita vya wahuni yapata miaka ishirini na tano ivi, waendelea kubaki nyuma kimaendeleo na serkali vyaweza kuendesha eneo hilo.
NENO LA WASOMAJI
publié par
Ngoyi Waso Pene Mulenda
il y a 2 ans