-
Taifa Mobutu ahitaji waziri mkuu mpya tarehe 12 januari '94
katika hotuba yake ya tarehe 4 januari '94 kwa raïa ya inchi ya zaïre kwa jumia Raïs Mobutu alisema kama atafanya yote iwezekanayo ili waziri mkuu mpya atakayeongoza serkali ya mpito ajulikane mbele ya tarehe 12 januari '94.
Swahili
il y a 5 ans
-
Masikilizano ya kinshasa, Waziri mkuu ni tshisekedi ao nani
Mjini mkuu kinshasa ambako mabingwa wa siasa nchini Zaïre wa pande mbili, hao wa upinzani (USOR) na wenzio wanaomuunga mkono Raïsi wa jamuhuri Mareshali Mobutu Sese Seko (FPC)...
Swahili
publié par
Imata Raphael Déwen
il y a 5 ans