• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Taifa Mobutu ahitaji waziri mkuu mpya tarehe 12 januari '94
    katika hotuba yake ya tarehe 4 januari '94 kwa raïa ya inchi ya zaïre kwa jumia Raïs Mobutu alisema kama atafanya yote iwezekanayo ili waziri mkuu mpya atakayeongoza serkali ya mpito ajulikane mbele ya tarehe 12 januari '94.
    Swahili il y a 4 ans
  • Mwaka mpya na mambo mapya!
    Ouf! mwaka wa 1993 umekwisha. tutasherehekea huu wa 1994, katika shangwe na vigelegele tukimsifu Mweny'ezy mungu.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans