-
Uhariri: umoja uimarishwe milele
Burundi, Rwanda na Zaïre ni nchi tatu kati ya nyingine nyingi zinazounda Bara letu la Afrika.
Swahili
il y a 3 ans
-
Kazi za wakimbizi
Tumesherehekea hapo majuzi kumbukumbu ya Wakimbizi Barani Afrika. Lakini tukichungua kwa kini hali kwa sasa ya Wakimbizi ulimwenguni kutokana na vita viendeshwavyo nchini nyingi toka chuki na waguzi wa kikabila kama vile na rangi na wa kidini...
Swahili
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Udemokrasia, madaraka na mapaswa
Mpango wa kufikilia siasa ya udemokrasia wa kweli ndiyo kusema mpango wa ushindi na wa raïa kuchukua madaraka mikononi mwao hauwezi kusimamisha kamwe na mtu yeyote.
Swahili
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Vyama na demokrasia
Iliruhusiwa kusimikwa nchini Zaïre siasa ya vyama vingi. Na kwa kweli kukaundwa vya kisiasa mamia na mamia. Kitendo hicho kikategemea zaidi ukabila...
Swahili
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
Dolari kwenyi mlingoti
Hali ya kiuchumi iliyoko nchini ya tia raïa katika uwasiwasi kwani hawajui nani wategemea ao nani atawaokowa na kuwa ondoa katika shimo la magumu wagandamizua.
Swahili
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans
-
UHARIRI: uwe wa heri na fanaka
ouf! Twafika mwaka mpya wa 1993, Mambo mengi yamepita na mwaka wa 1992 kwa namna wa mwendo wa kunguru.Tukitupa jicho nyuma tutajionea wenyewe namna gani mwaka 1992 wateremusha na usito wa magumu, raha, mipando na miporomoko ya maisha. sisi sote, hasa Wana-Zaïre, Kanshukuru Mungu Mweny'Ezikiwa shangwe na vigelegele kulotana na mambo kajionea.
Swahili
publié par
André Bisimwa L-B. Tserou
il y a 2 ans