-
Ufalme wa Kristu ni ufalme wa haki na mapendo
Nchini Zaïre kutokana na kuzorota kwa siasa ya uongozi, ya kiuchumi na ya kijamii, yatezamiwa mapambano makali yapo kati ya viongozi wa makanisa ya hao wa serkali…
Swahili
publié par
Mzee Munzihirwa
il y a 2 ans
-
Tuzungumze, Wachungaji na siasa katika makanisa
Siasa na injili ni mambo mawili yaliyo tofauti katika matumikio yake. Ila tuseme ya kuwa siasa ya kweli yatoka kwa Mungu sababu hiyo ni njia moja wapo ya kuweza kuongoza watu katika taratibu na hekima ya Mungu.
Swahili
publié par
Mutungwa Abendehwa Phély
il y a 2 ans
-
Tuzungumze: Udemokrasia upi katika makanisa za kikristu
Siku izi nchini Zaïre watu wote wajuliza kama katika makanisa ya kikristu, hizo za kiprotestanti na lile la kimbangu, zinazo teteya na kutaja mara na mara jina la mwokonzi wetu Yesu Kristu, udemokrasia upi na utaingia siku gani?
Swahili
publié par
Imata Raphael Déwen
il y a 2 ans