ARTICLE(S) RECHERCHE(S)
-
Jawabu kwa mzozo wa kisiasa nchini Zaïre ni: Masikilizano na heshima ya mapatano kati ya wanasiasa
Eti Raïs Mobutu akubali kukutana tena na wapinzani... Kwakweli tukichungua kwa karibu nguvu zaendeshwa kwa kuulaza mzozo wa kisiasa ulioko mchini Zaïre, zote zafikilia tu jawabu moja: masikilizano kati ya wanasiasa.
Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 2 ans