• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Kampala: Afrika ya mashariki yakusudia kurudisha shirikisho lake la kiuchumi
    Habari zenye kuaminika toka Kampala, mji mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Kahakikisha kuwa, Tanzania, Arap Moi wa kenya, Milton Obote wa Uganda (wa-liohuzuriwa na mwenzao Keneth Kaunda wa Zambia) kukutana kizazi mjini Kampala, waheshimiwa hao walkusudia kurudisha shikisho lao la kiuchumi kuletamo usawa kama ilivyokuwa hapo zamani. Shirikisho la kiuchumi la nchi za Afrika ya Mashariki ambalo lililoundwe tangu nchi hizo kujipatia uhuru lilivunjika mnamo mwaka 1977, wakati mizozo ya kisiasaili ilitukia kati ya nchi hizo jirani.
    Swahili publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 2 ans