-
Neno la wasomaji, Itombwe yasonga mbele
Jua mpenzi,
Nikiwa mmoja kati ya wasomaji wako watukufu, nafurahiwa sana na Gazeti letu "JUA" kwa kuwa latujulisha mambo yapitayo katika jimbo letu, nchini Zaïre na duniani kwa jumla.
Swahili
publié par
Wissoba Lusambya
il y a 4 ans
-
Neno la wasomaji: Wachuuzi wa Salamabila watetemeshwa
Jua mpenzi, ni mara ya kwanza nachukuwa kalamu yangu kwa kukuandikia kutokana na vitisho vyatushambulia toka na vyongozi ya hapa Salamabila. Na ninatumaini kama utaweza kunitolea mawazo kwa jambo hilo.
Swahili
publié par
JUA
il y a 2 ans
-
Neno la wasomaji: Wembe warahisisha uwizi katika soko la Kadutu
Ndungu mpenzi JUA, ninakujilisha kwamba mimi ni moja kati ya basomaji wako mashuhuri. Kupendelea kwangu kosoma GAzeti "JUA" kwatokana na vipindi vyaelekea akina mama (kwako bibi) na "Je, umesikia...?
Swahili
il y a 2 ans